GE2025 Mpina: Taifa linahitaji viongozi aina yangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mwanachama wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuonesha utofauti wa kampeni baina ya vyama vingine na kutimiza kusudio lake la kuongoza nchi baada ya kushinda uchaguzi, akibainisha kuwa Taifa linahitaji viongozi wa aina yake.

Ameyasema hayo leo Oktoba 06, 2025 nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Kuu Dodoma) mara baada ya kusikilizwa kwa Shauri la Kikatiba Na. 24027 la mwaka 2025, analopinga kuondolewa kugombea nafasi hiyo dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Mpina amebeba empty hope. Hata akishinda uchaguzi hawezi kutangazwa. Chura Kiziwi haui critics wake kwa bahati mbaya!
 
Sasa kampeni inakaribia kuisha hata akishinda kesi itakuaje kampeni? Anapoteza muda tu bora Angetumia hii ngvu kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
 
Back
Top Bottom