Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Ilianzia hapa!

Kisha ikafuatia hapa!

Kisha sikiliza hoja ya Mpina!

Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini!

Anaziona kero za ufisadi mkubwa,na kuusema bila hofu!

Amekubali kuuweka ubunge wake ndani ya CCM rehani!
Ilimradi ameusema unyang'anyi mkubwa wa genge hili ndani ya CCM.

Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!

Awindwe tuu CCM wote ni vibaka
 
Nani kilaza kati ya mpina mwenye gpa ya 2.1 na mwigulu mwenye gpa ya 4.6 udsm tena ya uchumi.
Uwezo wako wa kupambanua masuala unatia mashaka! Nakushauri utulie hata huko mtaani mwenye GPA ndogo na Kubwa Kuna wakati hawana tofauti na siyo ajabu ukakuta mwenye GPA ndogo anauwezo mkubwa wa kufikiria kuliko mwenye GPA kubwa.
 
Tutajie majina ya wawekezaji waliokimbia nchi, mwekezaji makini kama Bakhresa, Mengi Kampuni kama TBL, Serengeti, Coca Cola, Pepsi mbona hawakufunga na kukimbia wakati wa magufuli. huyo aliyekimbia labda alikuwa ni mhalifu
Dar supermarket, mbowe, mo alitaka kukimbia wakamdaka wakamweka pasiponulikana, Nimrod mkono kafilisiwa Mali zote mpaka kapalalise hatoki ndani kwake masaki labda mama huyu ambaye ana utu amrudishie hela zake, watu wamekufa wengi kwa presha kwa kikosi kazi alivhokianzisha kuvamia accounts za watu mchana kweupeee, nani angekuja kuanzisha biashara tena zaidi ya kukimbia na wengine kuahirisha kabisa. Mi mwenyewe account yangu aliiba hela zangu zote. Laana ndo imuua yule jamaa kila Kona walikuwa wanamuona mshenzi tu ispokuwa the so called " wanyonge" ambao walikuwa wanafurahia kudhuliwa kwa mtu ili iwe relief kwao ili kujustify uzembe na umaskini wao.
 
Na wewe ficha ujinga wako,Mwigulu ajajibu hoja za Mpina bali amefoka tu na kwa kifupi hawezi kujibu hoja za Mpina,Mpina anajenga hoja kwa fact!
Ile pesa Bilioni 300 waliyomlipa Symbion imetoka wapi kama haijachomolewa kwenye mafungu ya kibajeti na kuathiri maeneo mengine?
Na Ile pesa zaidi ya trillion 1 waliyomlipa mchina nje ya bajeti wameitoa wapi?

Mwigulu alipaswa ajibu hizo hoja na aliambie taifa kama kuna athari katika utekelezaji wa bajeti au la!

Alafu Mwigulu ni mchumi wa darasani ajawahi practice uchumi nje ya serikali kama akina Dkt.Mpango ambao wamefundisha vyuo vikuu na baadaye kufanya kazi World bank then kuwa Katibu wa tume ya mipango ya nchi.Sasa niambie Mwigulu alisha fanya kazi wapi za kiuchumi?That guy has no exposure at all in as far as economic management is concerned!
Weka uchawa pembeni,jadili hoja!
Mwigulu amekataa hakuna hela iliyolipwa popote zaidi ya Ile ya kulipa wanafunzi wa vyuo vikuu na kujenga Madarasa. Mkuu we hukuwepo?
 
Nenda kamuulize Prof. Lipumba na Prof. Semboja factors zinazosababisha mfumko wa bei alafu urudi hapa
Jibu swali. Umeshawahi kusikia wanamkosoa mwigulu nchemba? Kwa sbabu wanakijua kile kichwa. Factors zinazosababisha mfumko wa bei hata mi najua. Kuna cost push na demand pull ambazo mwigulu anadeal nazo. Kitendo Cha kuhamasisha uwekezaji nchi anatatua demand pull inflation ila nyie vilaza hamuwezi kujua
 
Me nadhani mh Mwigulu amekili kwamba ni kweli wametumia fedha nje ya bajeti kwamba kuna fedha ambazo zilitumika kuwapa watoto ambao hawakupata mikopo ya elimu ya juu( wanafunzi walikopeshwa) na hizo fedha serikali ilikopa billion 70+, na tsh billion 160, zilitumika kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa , vyumba 8,000, na mh Nchemba analikumbusha bunge na umma kwa ujumla je hayo majengo ya vyumba vya madarasa havionekani? Je kwa sasa bado kuna watoto wanalandalanda mitaani bila mikopo ya elimu ya juu??
Walisema pesa za Covid 19! Ndiyo zimejenga!

Pili walisema Mama kaleta pesa za ujenzi wa madarasa! Mimi nikajua Bi Mkubwa anazitoa kutoka kwenye pochi lake

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Anaongeaga ujinga ndo mana mwigulu amempa shule ya maana na kumwonyesha kwamba hajui chochote kuhusu uchumi ispokuwa uchawi tu. Kinachowacost Watanzania wengi ni elimu duni hawaelewi chochote ndo mana wamebaki wanashabikia tu anayefoka bila content ili mradi aonekane aneiponda serikali. Hapa ndo utajua kwa nini watu mbumbumbu walimpenda sana Jpm ukiwauliza kwa Nini wankwambia alikuwa anaongea kwa kufika Hadi Raha.
Ukipunguza uzalishaji panatokea uhaba na huu uhaba unasababisha kupanda kwa bei - mfumuko wa bei (pesa nyingi inakimbizana na bidhaa kidogo). Katoa mfano wa mbolea.
Kaeleza pia namna ya kuhalalisha matumizi ya serikali nje ya bajeti - njoo bingeni leta supplimentary bajeti.
Iasitoshe Mpina anaongea yaliyo kwenye ripoti ya CAG, Mwigulu angesema tu kuwa Mpina hajaelewa vizuri ripoti ya CAG. Kwa hiyo kumshambulia Mpina bila kuishambulia ripoti ya CAG ni kumuonea Mpina
Na niwaambie ukweli, Mwenyekiti ndiye alimnusuru Mwigulu kwa kukataa Mpina asimpe taarifa - ingetokea confrontation kubwa!
 
kipindi cha JPM alikuwa Waziri na kazi alizofanya tuliziona kwenye Mazingira alivyokuwa Naibu Waziri na Mifugo alipokuwa waziri na samaki zikaongeka viwanda vikaongezeka ajira zikaongeka uchumi ukaongezeka leo umesikia bungeni samaki wameisha uchumi umeanguka
Utusaidie viwanda vilivyoongezeka kwa takwimu ikiwezekana majina pia, kwa kutusaidia zaidi utuambie vingapi (kitakwimu) na ikiwezekana kwa majina na location vilivyofungwa!
Pamoja na hayo comparative evidence pia kwenye idadi ya samaki waliopungua! (Difference) ili kina Tomaso waamini
 
Baada ya JPM hivi sasa hata akitokea mbunge anayekusemea mpiga kura eneo lako bado utampiga misumari huyo mbunge kuwa anamtetea Magufuri au anatafuta uraji kwa sababu ya njaa.

Bado naendelea kujifunza tabia ya mwanadamu!
.
 
Me nadhani mh Mwigulu amekili kwamba ni kweli wametumia fedha nje ya bajeti kwamba kuna fedha ambazo zilitumika kuwapa watoto ambao hawakupata mikopo ya elimu ya juu( wanafunzi walikopeshwa) na hizo fedha serikali ilikopa billion 70+, na tsh billion 160, zilitumika kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa , vyumba 8,000, na mh Nchemba analikumbusha bunge na umma kwa ujumla je hayo majengo ya vyumba vya madarasa havionekani? Je kwa sasa bado kuna watoto wanalandalanda mitaani bila mikopo ya elimu ya juu??
Lakini unakumbuka walipotambulisha tozo za miamala waliongea bila hofu kwamba fedha hizo zitaelekezwa kwenye madarasa na vituo vya afya na wakawa wanatoa takwimu Kila mwezi na allocation ya hizo hela katika secta tajwa hapo juu?

Worse enough ghalfla tukasikia Kuna mkopo au maarufu kama hela za uviko na zitaelekezwa kwenye ujenzi wa madarasa?

Wakati tozo hazijafutwa bado zinaendelea (hatuambiwi Tena zinafanyia Nini) za uviko zikajengea madarasa,

Leo ataaminika akisema ametumia fedha nje ya bajeti kwa ajili ya vyumba vya madarasa? Ukitizima huoni Kama Kuna uhuni unaofanyika!
 
Aliamua mpaka kupima urefu wa samaki waliokuwa wakiuzwa kwenye canteen ya Bunge maana yake ni kwamba hata wakati huo alikuwa ana msimamo na akalaumiwa na waheshimiwa wenzie kwa kitendo kile !!
Ile ilikua Ni show off! Badala yaniuzuia wanakotokea anaenda kukagua wanakoliwa Kama sio kutafuta cheap popularity Ni Nini? Enhe akishagundua wamevuliwa kabla ya kufika required size angewarudisha ziwani ilihali wameshakaangwa? Ujinga mtupu?
 
Na wewe ficha ujinga wako,Mwigulu ajajibu hoja za Mpina bali amefoka tu na kwa kifupi hawezi kujibu hoja za Mpina,Mpina anajenga hoja kwa fact!
Ile pesa Bilioni 300 waliyomlipa Symbion imetoka wapi kama haijachomolewa kwenye mafungu ya kibajeti na kuathiri maeneo mengine?
Na Ile pesa zaidi ya trillion 1 waliyomlipa mchina nje ya bajeti wameitoa wapi?

Mwigulu alipaswa ajibu hizo hoja na aliambie taifa kama kuna athari katika utekelezaji wa bajeti au la!

Alafu Mwigulu ni mchumi wa darasani ajawahi practice uchumi nje ya serikali kama akina Dkt.Mpango ambao wamefundisha vyuo vikuu na baadaye kufanya kazi World bank then kuwa Katibu wa tume ya mipango ya nchi.Sasa niambie Mwigulu alisha fanya kazi wapi za kiuchumi?That guy has no exposure at all in as far as economic management is concerned!
Weka uchawa pembeni,jadili hoja!
Umesema kweli
 
Ulinzi gani wakati wote ni wana CCM tunajuana, afu sisa za kijinga za kutekana na kuumizana zilishaondoka na muasisi wake, yupo free aseme kinachomsibu wakubwa watamsikia na watayafanyia kazi ambayo wanaona yanafaa.
 
Angekuwa anatumia taarifa ya cag angekuwa ameshaisema vibaya serikali ya jpm mana taarifa ya cag imejaa madudu ya jpm. Sema amejawa na chuki tu. Mwigulu anamweka sawa kila simu na kumuonesha hajui lolote mfano Jana tu kamwambia huwezi vuna usipopanda. Jpm alitufundisha kwamba tuvune bila kupanda ndo mana wawekezaji walikuwa wanakimbia nchi hii kila kukicha lakini yeye anakwambia yupo na wanyonge ambao hata hawalipi Kodi yoyote. Thanks for what God did to rescue our economy and our jobless people.
Mpina hakujibiwa hoja yake, Mwigulu alijibu kumfrustrate Mpina ila sio hoja aliyoitable!!
 
Angekuwa anatumia taarifa ya cag angekuwa ameshaisema vibaya serikali ya jpm mana taarifa ya cag imejaa madudu ya jpm. Sema amejawa na chuki tu. Mwigulu anamweka sawa kila simu na kumuonesha hajui lolote mfano Jana tu kamwambia huwezi vuna usipopanda. Jpm alitufundisha kwamba tuvune bila kupanda ndo mana wawekezaji walikuwa wanakimbia nchi hii kila kukicha lakini yeye anakwambia yupo na wanyonge ambao hata hawalipi Kodi yoyote. Thanks for what God did to rescue our economy and our jobless people.

Kwa taarifa yako wawekezaji walikuwa wanapewa msamaha wa kodi kwa kipindi fulani…muda ukifika wa kuanza kulipa kodi wanasepa…

Huu uzwazwa JPM alisema hautafanywa kwake….tunataka uwekezaji wenye tija…unakuja hapa eti ajira…payroll yenyewe haifiki hata theluthi ya anachovuna…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom