misimamo ya mpina sio mipya imendikwa kwenye Ilani ya CCM ili wabunge wakasimamie Serikali sasa kosa lake ni niniMpina hana msimamo wowote na aache kutumia majina bandia,unarusha maelezo ya hilo gazeti uchwara humu ili iweje wewe kenge
CCM inahimiza vita dhidi ya Rushwa tena kupitia ilani ya ccm kosa la mpina liko wapi
Labda ile kashfa ya kuteka ardhi Morogoromisimamo ya mpina sio mipya imendikwa kwenye Ilani ya CCM ili wabunge wakasimamie Serikali sasa kosa lake ni nini
Arudishe ile ardhi alinyanganya kule morogoroCCM inahimiza vita dhidi ya Rushwa tena kupitia ilani ya ccm kosa la mpina liko wapi
Kwanini msimpeleke mahakamani?Arudishe ile ardhi alinyanganya kule morogoro