Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.