GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tofauti yako na Luca wewe huna posho unajitolea..!!
 
Tuoneshe mmoja aliyepingana na Mwenyekit6i wake akaondolewa maisha.

Tusijazane ujinga.
 
Tofauti yako na Luca wewe huna posho unajitolea..!!
Nyie chadema mlimuona Mpina kama masihi wenu kama mnavyomuona polepole sasa hv, ila mkashangazwa kama ambavyo mtashangazwa na polepole soon
 
Nyie chadema mlimuona Mpina kama masihi wenu kama mnavyomuona polepole sasa hv, ila mkashangazwa kama ambavyo mtashangazwa na polepole soon
Injection imeingia naona unanikwoti mara mbilimbili 😹😹
 
Kwmaba hujui ni project ya nani kwa manufaa ya nani!!!??? Kuwa serious aisee.
Mpina ni project ya CCM kwa maslahi ya CCM na washirika wao.
Unaposema ni project,ni vizuri ukafafanua kivipi? Elezea wengi wakuelewe,toa ushahidi kwamba ni project,.,mfano wewe hapo mtu akikutuhumu kua umemwibia,ni vyema atoe ushahidi,mambo hayatakiwi kukaa hewani hewani tu, vinginevyo ulimwengu utakua wa vurumai,,hatuendi hivyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…