Kwa hiyo ulitaka ajiunge chadema ?Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.
View attachment 3437363
Naam,Wote hao wapigania matumbo Yao na familia zao ,,hakuna jipya
Ndoo mpangoMpina kajivua nguo ila inawezekana akujua maana Zitto ndio mtu wa kati akumuambia ukweli chama cha nani, ila ningekuwa Mpina ningejiuzuru kabla hata uchaguzi ili alinde uaminifu wake kwa watanzania.
Naam! Ila Mpina wa hovyoNdoo mpango
Angalijiunga na chadema asingekua wa ovyo?Naam! Ila Mpina wa hovyo
Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.Chadema mbona munateseka kiasi hicho? mwanzo mulikua munamshabikia, kwa kuwa tu hajaja chama chenu ndio imekuwan nongwa
Kajivua nguo kwa vile hakujinga na chadema ?Mpina kajivua nguo ila inawezekana akujua maana Zitto ndio mtu wa kati akumuambia ukweli chama cha nani, ila ningekuwa Mpina ningejiuzuru kabla hata uchaguzi ili alinde uaminifu wake kwa watanzania.
Hapana sio kwasababu akujiunga na chadema, kujiunga na ccm BKajivua nguo kwa vile hakujinga na chadema ?
Ni wapi umeona Polepole anasifiwa ili ajiunge cdm? Huyo ni mfuasi wa Magufuli walioshirikiana kuharibu demokrasia ya vyama vingi hapa nchini. Watu wanachochea kuni na sio kumtaka ajiunge na cdm. Hao wahuni toka ccm kwenye cdm ya Lisu hawana nafasi. Usidhani cdm hii ni ya Mbowe mzee wa siasa maslahi.Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Wewe una chuki na Chadema tu, mleta uzi huu ni mccm, Polepole muasisi wa hoja ya Mpina kwenda ACT Wazalendo kuwa ni ya CCM naye ni mccm na pia hao Chadema unaowatwika lawama hawashiriki huu uchaguzi. Punguza chuki .Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Angekuwa wa hovyo pia.Angalijiunga na chadema asingekua wa ovyo?
Kwa hiyo Lowasa alivojiunga chadema nae akikua wa ovyo ?Angekuwa wa hovyo pia.