Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,553
- 1,149
Akikosa safari na wakisema kura zetu hazitoshi jamaa inabidi aachane na hizi mambo
View attachment 151987
Kabla hajakosa we gotta do something, itakuwa aibu sana safari hii dogo Msodoki akichukua tuzo ya huyu Legend ambae kila mtu anaufaham uwezo wake. Keep Voting
Afu waliomuweka Young Killa ni Matahira !
Kweli young killa ashindane na Fid Q
mbona hata wanafamilia ya Tamaduni Muzik tunatambua baba yetu ni Fid Q !
Afu waliomuweka Young Killa ni Matahira !
Kweli young killa ashindane na Fid Q
mbona hata wanafamilia ya Tamaduni Muzik tunatambua baba yetu ni Fid Q !
Mkuu Young Killer anashinda mark my words!
Sahihi mkuu ndomana nasema jamaa wa kill na watanzania wengi ni matahira!
Hawajui Hip Hop ni nini !
Kwamfano Huyo Young killer huwezi kumlinganisha na kichwa chochote pale Tamaduni Muzik !
Nilitegemea aka kae kwenye Msanii Chipukizi tu ! Ila siyo kumweka na Fid Q !
Iliishajulikana kwamba Msanii Bora wa Hip Hop Tanzania ni Fid Q na wasanii wote wa hip hop wana appreciate! Japokuwa ana retire now !
Young Killer anasema hivi !
''Ukinitoa Mimi na FID kad go ndo Rapa best''
Stamina anasema hivi !
''Mtoto wa Faridi ninaepita hata beat ya mnanda/
Nashangaa nyie makaidi msiompa Tuzo Kubanda''
Kad Go anasema hivi !
''Changu Kipaji na Ujuzi haupimwi Kwa Tuzo za Pombe''
!
huyu jamaa ni mkali, ntashangaa kama wimbo wa bonta"walaumiwa" hautaingia next year awards, ntajua hawa jamaa wana beef na baadhi ya wasanii"..mangwea mheshimiwa....bi kidude mheshimiwa...runyamila mheshimiwa...!!