Babake Romney, George is of German, English and Scottish ancestry, mamake ni German and English ancestry, umetuwekea link kumbe we mwenyewe hata hujaisoma, babu yake romney alimigrate to mexico lakin hakuwahi kupata uraia wa mexico coz laws za mexico hazitoai uraia kwa settlers unless umeingia mexico kama assylum seeker kitu ambacho hakikuwa hvyo kwa babu yake romney
Baba yake romney alizaliwa mexico lakini at the age of 5 familia yao ikarudi marekani, so romney mwenyewe alizaliwa marekani baadae.
Point: Romney hana Latini/hispanic blood much less hajawahi kuwa na uraia wa mexico wala kuishi mexico in his life anachojaribu kufanya ni kuestablish connection na mexico ili ku win votes za Latino population in the US ambao inasemekana wapo around 30% of all eligible voters na anatumia the fact kwamba obama is not popular among Latinos coz of his deportation policies kali za kuwarudisha Mexico wote wanaovuka mpaka wa Mexico kuingia jimbo la Texas Marekani bila permit kwa lengo la kutafuta maisha mazuri, so hzo ni political propaganda tu but ROmney is not Hispanic.
Hili la Republican kuwa wabaguzi cjapata uhakika sana ol I know ni kwamba hiko chama ni majority white Caucasian na hizo zote ni influence za historical reasons tangu enzi za utumwa na civil war ya 1860s