Mpiga picha hodari atanusurikaje mbele ya nyoka hatari?

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,983
Reaction score
1,252,311
Upiga picha ni kipaji adimu ila kuna muda unaweza muingiza mhusika matatani na kwenye matatizo zaidi.
Huyu mpiga picha yupo kazini kuchukua selfie mubashara ya mayai ya nyoka bila kujua mwenye mayai yupo nyuma yake,je atasalimika?
 
Mwenye mayai anamhesabia tu
ukimaliza kufotoa mayai yangu na mimi nakufotoa makalio
ila picha duka hii nyoka huwa anachimbia mayai yake imekuwaje haya yako nje kama kanga?
 
Labda yalifukuliwa
Mwenye mayai anamhesabia tu
ukimaliza kufotoa mayai yangu na mimi nakufotoa makalio
ila picha duka hii nyoka huwa anachimbia mayai yake imekuwaje haya yako nje kama kanga?
 
Kuna picha ilionyeshwa mtoto mwenye njaa huku ndege akimnyemelea,mpiga picha alimfukuza ndege wala hakutoa msaada kwa mtoto(haijulikan kama mtoto alinusurika au la)
Ndio kama hapa
Lazima alitoka salama ndio maana tumeiona hii picha.
 
Bila shaka mwenye mayai hana sumu kali walishamtoa sumu akiwa bado mchanga hahahahah
 
Kuna picha ilionyeshwa mtoto mwenye njaa huku ndege akimnyemelea,mpiga picha alimfukuza ndege wala hakutoa msaada kwa mtoto(haijulikan kama mtoto alinusurika au la)
Ndio kama hapa
Yule mtoto aliliwa na ndege na baada ya kupata habari hizi mwandishi yule alijiua maana kambi ambapo mtoto yule angeweza kusaidiwa haikuwa mbali hivyo angempeleka pale labda mtoto yule angeishi. Mie naamini huyo mpiga picha mayai ya nyoka ndie alietoa picha hiyo baada ya kunusurika.
 
Shukran kwa info ya yule mtoto.

Hii picha inaonekana imepigwa na mtu mwingine aliekua mbele ya jamaa na nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…