paul m kibinza
Member
- Jun 19, 2017
- 30
- 18
Mpiga guiter la bess na solo anahitajika sana katika studio yetu mpya. So kama upo hapa jukwani au unamfahamu mzoefu wa kazi hii; piga 0752268396.
Tupo mji mdogo wa lamadi wilaya ya busega.
Itapendeza kama anafahamu kupiga keyboard.
https://www.facebook.com/
utalikungúta la dally kimoko si muda mrefu maana umezidi kujisifia mkuyengeNajuta kwanini nilikuwa namkimbia Mwalimu wa Muziki Shuleni enzi hizo kwani leo nami ningekuwa ama nalikung'uta Bass au Solo Gitaa hakyanani.
nahitaji SOLO na BessMm napiga galaton
ASANTE NIPE NAMBA YAKO 0621014638Nichek...napga bass....keyboard
PRODUCER TUNAYE KAKAVp, prodyuza mnae? Mkuu ninauzoefu wa kazi hyo. Baadhi ya kazi zangu ni pamoja na tangazo la [HASHTAG]#OnjaMsisimko[/HASHTAG]
Ungeuliza wanalipa shs ngapi kabla hujaanza kujujuta.Najuta kwanini nilikuwa namkimbia Mwalimu wa Muziki Shuleni enzi hizo kwani leo nami ningekuwa ama nalikung'uta Bass au Solo Gitaa hakyanani.
NDIYO MAANA NIMEOMBA NAMBA ILI TUWASILIANEUngeuliza wanalipa shs ngapi kabla hujaanza kujajuta.
utakomaNajuta kwanini nilikuwa namkimbia Mwalimu wa Muziki Shuleni enzi hizo kwani leo nami ningekuwa ama nalikung'uta Bass au Solo Gitaa hakyanani.