Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Hapana mkuu, kuchapiwa kupo tu kikubwa usijue.nikadhan umechapiwa na mpiga debe
Mi nikajua wife kakubamba na Mpiga Debe. Dunia imebadilika sanaHapana mkuu, kuchapiwa kupo tu kikubwa usijue.
Itakuwa anaendesha huku anaandika uzi.Kwa hiyo umepark ukashea nasi kwanza
Mkewe aendelee kumnunia tuItakuwa anaendesha huku anaandika uzi.
Unatumia tafsida hapa kutupiga fiksi? Si useme tu jamaa huyo mpiga debe anamgongaLeo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani
Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja asipande gari yangu licha ya anapokwenda ndio njia ninayopita.
"Wewe kwanini upite shortcut kuja Kwa dereva, sasa hupandi hii gari napakia hawa wawili" alisikika mpiga Debe huyo.
Kuepuka mkosi safarini imenibidi niwabebe hawa wawili nimuache yule kijana lakini mke wangu ananilaumu Sana kuwapa umiliki wa gari wapiga debe.
Mke wangu ananilaumu njia nzima mpaka sina Amani ya moyo.
Nimenuniwa na ndoa yangu ipo hatarini
Sasa hii ndiyo nini au ulitaka tujue kuwa una gari?Leo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani
Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja asipande gari yangu licha ya anapokwenda ndio njia ninayopita.
"Wewe kwanini upite shortcut kuja Kwa dereva, sasa hupandi hii gari napakia hawa wawili" alisikika mpiga Debe huyo.
Kuepuka mkosi safarini imenibidi niwabebe hawa wawili nimuache yule kijana lakini mke wangu ananilaumu Sana kuwapa umiliki wa gari wapiga debe.
Mke wangu ananilaumu njia nzima mpaka sina Amani ya moyo.
Nimenuniwa na ndoa yangu ipo hatarini
Huyo mkeo kampime akiliLeo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani
Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja asipande gari yangu licha ya anapokwenda ndio njia ninayopita.
"Wewe kwanini upite shortcut kuja Kwa dereva, sasa hupandi hii gari napakia hawa wawili" alisikika mpiga Debe huyo.
Kuepuka mkosi safarini imenibidi niwabebe hawa wawili nimuache yule kijana lakini mke wangu ananilaumu Sana kuwapa umiliki wa gari wapiga debe.
Mke wangu ananilaumu njia nzima mpaka sina Amani ya moyo.
Nimenuniwa na ndoa yangu ipo hatarini
Kwani noa si ndiyo huwa inabeba abilia, usione wivu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa anataka tujue gari yake inauwezo wa kubeba zaidi ya watu wanne ..
Tumpe hongera zake
Aanze kupimwa mwenyewe kabla ya mkewe kisha mpigadebe wakeHuyo mkeo kampime akili
hahahahahahaahahahahahahahaMi nikajua wife kakubamba na Mpiga Debe. Dunia imebadilika sana
Kama huna ni gari...Vits nayo ni gari