Makampuni ya mabasi yanaweza anzisha hiyo payment system,,fedha haziendi physically,hela inawekwa hapa,mtu anachukulia kule,kwa transfer fee ndogo kuzidi hizi za makampuni ya simu
Halafu Mkuu, hii namba yao ya *149*01# imewekwa kwa ajili gani? Maana kuna maluweluwe mengi sana kwenye hii namba ambayo sitaki kuyataja. Tumieni *150*00#
Naomba mnisaidie Kama wakala wa mpesa sijapata commission zangu za mwezi wa Saba nikipiga kwa voda wananiambia niongee na wakala mkuu na nikiongea na wakala mkuu anasema amesharequest makao makuu Ila hawajamjibu.
Sasa nifanyaje?