Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
jamani wana jf nawasilisha kwenu hili tatizo linalomsibu gal wangu maana iz too much
nikiwa nasex naye huwa anaachia mizinga[mashuzi] si kawaida katka game anaweza hata akaachia mara 3 na zaidi
nimewaeleza rafikizangu wa karibu wengine wakaniambia labda kunawatu wanamla 0712
wengine wananiambia ndo maraha na mizuka anayopata afikapo kileleni that why anajamba
so naombeni ushauriwenu/mawazo/maoni nk maana hii hali inanikera sana#

si tu hapa jamvini, hadi marafiki zake keshawasimulia. Na wakampa hayo majibu aliyonayo. Kizazi cha dot.com na wachora zombies kwenye mitihani hawa! Wala hawashangazi.hivi kweli ni mwanaume kamili kweli?? why siri zako na mpenzi wako unazimwaga hapa jukwaani?? harafu ulivyo kuwa masaburi unauliza swali ambalo jibu lako unalo??
Huyu jamaa alianzia kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/mahusia...ngu-hataki-tufanye-romance-2.html#post5965512