Joel Baadae Member Joined Jan 25, 2017 Posts 14 Reaction score 3 May 27, 2017 #1 Nina mpenzi asiye nidhamini kila nikitoka kwenda kazini yeye anajipa shugli na wengine wa kindia yangu kila nikimuliza ananitema
Nina mpenzi asiye nidhamini kila nikitoka kwenda kazini yeye anajipa shugli na wengine wa kindia yangu kila nikimuliza ananitema
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 May 27, 2017 #2 kwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa
kwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 May 27, 2017 #3 Jamaa atafuta mtu akusaidie kuandika upya
Ncherry1 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 2,181 Reaction score 2,256 May 27, 2017 #4 Mtu unaandka kama vile ndo umeanza kutumia cm jana...
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 May 27, 2017 #5 jimmyfoxxgongo said: kwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa Click to expand... Hahaha
jimmyfoxxgongo said: kwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa Click to expand... Hahaha
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 May 27, 2017 #6 jimmyfoxxgongo said: kwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa Click to expand... my ribs
jimmyfoxxgongo said: kwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa Click to expand... my ribs
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 May 27, 2017 #7 Oyo,nenda urudi baadae Kama ID yako. Maana Hapa Hata haujaeleweka. Huku sio Facebook
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,665 Reaction score 78,143 May 27, 2017 #8 Sawa.
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 May 28, 2017 #9 Maserati said: Oyo,nenda urudi baadae Kama ID yako. Maana Hapa Hata haujaeleweka. Huku sio Facebook Click to expand... Eti mpenzi asiyemdhamini sasa nani alimwambia mpenzi anatoa mdhamana shugli na kindia sijui ndo misamiati mipya hiyo halafu ukute nae huyu ni graduate anatembea na bahasha daily anatafuta kazi
Maserati said: Oyo,nenda urudi baadae Kama ID yako. Maana Hapa Hata haujaeleweka. Huku sio Facebook Click to expand... Eti mpenzi asiyemdhamini sasa nani alimwambia mpenzi anatoa mdhamana shugli na kindia sijui ndo misamiati mipya hiyo halafu ukute nae huyu ni graduate anatembea na bahasha daily anatafuta kazi
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,639 May 28, 2017 #10 Sijaelewa
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 May 28, 2017 #11 jimmyfoxxgongo said: Eti mpenzi asiyemdhamini sasa nani alimwambia mpenzi anatoa mdhamana shugli na kindia sijui ndo misamiati mipya hiyo halafu ukute nae huyu ni graduate anatembea na bahasha daily anatafuta kazi Click to expand...
jimmyfoxxgongo said: Eti mpenzi asiyemdhamini sasa nani alimwambia mpenzi anatoa mdhamana shugli na kindia sijui ndo misamiati mipya hiyo halafu ukute nae huyu ni graduate anatembea na bahasha daily anatafuta kazi Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,346 Reaction score 176,135 May 28, 2017 #12 Okey.
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 May 28, 2017 #13 Maserati said: Click to expand... kwamba mpenzi hataki kumdhamini sijui ilikuwa banki au mkopo wa kawaida
Maserati said: Click to expand... kwamba mpenzi hataki kumdhamini sijui ilikuwa banki au mkopo wa kawaida
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 May 28, 2017 #14 jimmyfoxxgongo said: kwamba mpenzi hataki kumdhamini sijui ilikuwa banki au mkopo wa kawaida Click to expand... Please..forgive my ribs. Yaani nacheka mpaka najikojolea Huku jamani
jimmyfoxxgongo said: kwamba mpenzi hataki kumdhamini sijui ilikuwa banki au mkopo wa kawaida Click to expand... Please..forgive my ribs. Yaani nacheka mpaka najikojolea Huku jamani
Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 1,916 Reaction score 4,094 May 28, 2017 #15 mmmmh. are you okey?
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 May 28, 2017 #16 Maserati said: Please..forgive my ribs. Yaani nacheka mpaka najikojolea Huku jamani Click to expand... we nae huna huruma mtu kakataliwa kudhaminiwa wewe unacheka
Maserati said: Please..forgive my ribs. Yaani nacheka mpaka najikojolea Huku jamani Click to expand... we nae huna huruma mtu kakataliwa kudhaminiwa wewe unacheka
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,339 May 28, 2017 #17 Fesibuku
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 May 28, 2017 #18 jimmyfoxxgongo said: we nae huna huruma mtu kakataliwa kudhaminiwa wewe unacheka Click to expand... Walah unaniumiza mbavu zangu. Duh!!! Facebook sio nzuri sometimes
jimmyfoxxgongo said: we nae huna huruma mtu kakataliwa kudhaminiwa wewe unacheka Click to expand... Walah unaniumiza mbavu zangu. Duh!!! Facebook sio nzuri sometimes
vesta JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 938 Reaction score 953 May 28, 2017 #19 Nadhani hata wewe mwenyewe ukirudia ulichoandika hautakielewa
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 May 28, 2017 #20 Maserati said: Walah unaniumiza mbavu zangu. Duh!!! Facebook sio nzuri sometimes Click to expand... msiwaze tu facebook huenda mwenzenu alisomesha na hapo mpaka sasa anaandika mwili wote unatetemeka, ukimuuliza hata raisi wa nchi yetu anaitwa nani huenda ukakutana na jibu la koffi olomide,
Maserati said: Walah unaniumiza mbavu zangu. Duh!!! Facebook sio nzuri sometimes Click to expand... msiwaze tu facebook huenda mwenzenu alisomesha na hapo mpaka sasa anaandika mwili wote unatetemeka, ukimuuliza hata raisi wa nchi yetu anaitwa nani huenda ukakutana na jibu la koffi olomide,