Mpenzi wangu sio rafiki

hao wanaopenda majigambo ni balaa..at last unamkuta aishi gheto uswahilini na hata kiwanja hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope alinielewa,but kuna tabia za kitpto alijaribu kuzileta humu nikamwambia aache. Nashukuru ni muelewa akaacha,alinichamba tho

En i guec huyo atakuwa kabila lile maarufu kwa kuongea sana, ambao wakikamata mwizi hapigwi anasutwa mbaka analia., sio kwa huko kukuchamba
 
sikucheki mkuu ila nimefurahia uandishi wako...pole sana muhimu mvumilie tu huku una try your best kusolve tatizo hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimegundua ndugu yetu alitanguliza promo zakutosha ili ajiandalie mazingira alafu somo halikueleweka hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…