Yaani hatukuwahi onana,we just talk thru the phone but mmmh. Nikaona hapa sio nikayeya
But usimuache msichana wako. You just tell her. Unajisikiaje na unatamani angekuwa vipi. Ongea nae kwa urefu na mapana,if possible change the location,msiwe home au sehemu mliozoea kwenda ili ajue umuhimu wa maongezi yako.Dooooh jamani, sasa mimi kosa langu lipi?nimempa sifa yako mojawapo, ashindwe yeye tu
huu sasa ni uchochezi. Mie sipo huko...
Hivo wakaka msiwe waongeaji sana,punguzeni basi. We @mla hata punguza na wewe kuongea. Mtazamane kama fisi waliokoswa na mshale mbakize pumzi tu huku mkitazamana
Heheheh hiyo too muchNahisi ni heri yako maana kwenye kuonana ingebidi uchukue mwamvuli wa kuzuia mate
Sent using Jamii Forums mobile app
But I gave you some tips, unaweza badilisha ukapata wa type kama zile nilizokuelezea previously...Ndugu yangu, mpenzi sio mama yule kusema huwezi kumbadilisha, kero zinazeesha ujue
Ndioo
Hakukuandama kwa kukutafuta?No,hatukuweza kuonana. We just talk thru the phone just 2 days if not within 24 hour. Kilichonikera mtu hata hatujafahamiana vizuri,basi kuwa hata na Ka staha bakisha maneno tukionana. Mmmh!!! Haikuwa hivo nikajipa moyo mengine he is excited mmmh.I just go away
He he he he he he.
Ukayeya na milango ukafunga, no entry no exit. And sad enough na wengine tunakuwa wahanga kwa makosa ya waliotutangulia.
No,hatukuweza kuonana. We just talk thru the phone just 2 days if not within 24 hour. Kilichonikera mtu hata hatujafahamiana vizuri,basi kuwa hata na Ka staha bakisha maneno tukionana. Mmmh!!! Haikuwa hivo nikajipa moyo mengine he is excited mmmh.I just go away
Nope alinielewa,but kuna tabia za kitpto alijaribu kuzileta humu nikamwambia aache. Nashukuru ni muelewa akaacha,alinichamba tho
No,sio kutest zari. You just imagine all the time anakupigia simu anataka muongee. Ukipokea anaongea yeye tu. Me I'm doing this and this,this is this and this. Bla blah kibao. Too much pilipili,I decide not to ate that foodAaah 2 days, bhasi na wewe ulifanya haraka sana, uliwezaje kushindwa mapema hivo, au na wewe ndo ulikuwa unatest zali
huu sasa ni uchochezi. Mie sipo huko...
Hivo wakaka msiwe waongeaji sana,punguzeni basi. We @mla hata punguza na wewe kuongea. Mtazamane kama fisi waliokoswa na mshale mbakize pumzi tu huku mkitazamana
Sio too much mkuu...wapo madomo sururu wanaongea sana na hurusha mate balaaHeheheh hiyo too much
alafu unajua kuna ile mmekaa anakuja mtu mwingine mnacheka kunachangamka alafu gafra akiondoka mnarudi kwenye hali yenu ya ububu mixer kutoleana mimacho , mambo gani sasa hayo.
Maskin mwisho akasameheNope alinielewa,but kuna tabia za kitpto alijaribu kuzileta humu nikamwambia aache. Nashukuru ni muelewa akaacha,alinichamba tho
But usimuache msichana wako. You just tell her. Unajisikiaje na unatamani angekuwa vipi. Ongea nae kwa urefu na mapana,if possible change the location,msiwe home au sehemu mliozoea kwenda ili ajue umuhimu wa maongezi yako.
alinichambaa