Huyo ni mwanaume anayeomba ushauri sweetheart...i.e mwenye mihasira hiyo ni mwanamke.Wanaume wa hivyo hasira zikiisha anamapenzi utajiona queen, zikimpanda unaamua haki kweli ninamuacha. Watu wanashangaa miaka inakwenda mko wote.
Mshika mawili moja humponyoka, kuna ninayo yafanya huku, sikusoma uzi vizuri mkuu.Huyo ni mwanaume anayeomba ushauri sweetheart...i.e mwenye mihasira hiyo ni mwanamke.
Kama ni hivo huyo atakua mwanaume wa Dar.Huyo ni mwanaume anayeomba ushauri sweetheart...i.e mwenye mihasira hiyo ni mwanamke.
ili kuepuka hizo changamoto hizo inabidi umkwepe au kila mtu afanye yake hii itasaidia sanaPoleni na majukumu ya kutwa nzima wakuu,
Nimekuwa na mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya mwaka sasa, bali tabia yake ya hasira na kutokuwa mvumilivu vimekuwa ni changamoto kubwa kwangu, kiukweli mpenzi wangu huyu hana subira na ni mwingi wa hasira, hususani anapohitaji kitu hutaka apate kwa wakati. Namaanisha kama huna anachohitaji kwa wakati husika ni shida, atakasirika, atavimba na pengine kukutamkia maneno yasiofaa, nipo njia panda sijui nifanye nini ili kuepuka changamoto hizi.
Naombeni ushauri wenu please.
ndiyo maana siku hizi upendo hamna kabisa.. yaani hapo kaandika "kitu" naona wanaume mmeshatafsiri "kitu" ni hela!Anataka kupewa kitu kwa haraka kwani we ni bank kwamba pesa zipo mda wote, au kila akitakacho unacho mda huo?
Mtu ambaye hajishughulishi, hajui ugumu wa kupata kitu/pesa, yeye anataka na usipompa mda huo anakuwa mwingi wa hasira, akidhani unamnyima makusudi.
ndiyo maana siku hizi upendo hamna kabisa.. yaani hapo kaandika "kitu" naona wanaume mmeshatafsiri "kitu" ni hela!
je kama ni kitu kingine nje ya hela?