Pole sana mkuu..... Ukiongea kuhusu mim unatakiwa ujue kwanza nmeolewa au sijaolewa...... Ukijua moja kati ya hilo unaweza kuamua kusema chochote utakacho sawa shemeji..... Ww kama umeamua kuoa mwanamke ambae kweny uchumba hakukufulia basi ni ww........ Mwanamke kukufulia, kukupikia, sijui kukufanyia nin kabla ya ndoa hyo haitakiwi kabisa...... Kinachotakiwa kufanyika ni huyo binti kufundishwa jinsi na nini cha kumfanyia mume na ni kipi cha kufanya kuitunza familia... Ndo mana kukawa ni kitchen party ndo mana pia kabla ya kitchen party kuna vimambo mwanamke anafundishwa na somo..... Me naona ww ni moja kati ya vijana ambao aukukaa na baba kukufundisha jinsi ya kua mwanaumeNishakutana na wanawake wa kuangalia movie, kusikiliza muziki na kulala. Sijamuoa hata mmoja na hawajaolewa mpk leo. Unafikiri mwanaume akikuhitaji kingono basi atakuoa. Muulize Unique Flower atakujibu
Utapigwa mashine, anapewa namba rafiki yake naye anapiga. Chain inaendelea
Nakumbuka wakati nipo bachela enzi hizo nikitaka kuleta demu siku hiyo unapigwa usafi wa maana, nasafisha room vizuri kabisa, inapigwa hadi perfurme... Nafua manguo yote machafu, ghetto linakua linameremeta haswaaa....!!!!Kwakweli, maana hapa mwanaume ndio anaonekana mvivu.
Nashukuru sana ww unajitambua...... Watu kama ww ndio mnatakiwa muwafundishe vijana wa humu...Nakumbuka wakati nipo bachela enzi hizo nikitaka kuleta demu siku hiyo unapigwa usafi wa maana, nasafisha room vizuri kabisa, inapigwa hadi perfurme... Nafua manguo yote machafu, ghetto linakua linamereta haswaaa....!!!!
Ila naona vijana wa siku hizi wanaleta demu ghetto chafu, manguo machafu yamejaa wanategemea wasafishiwe na wafuliwe na demu.
Anyways, kweli mambo yamebadilika.
Aje kwako akufulie??????Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sanaa na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hv ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.
Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli
Halafu wana guts za kulalamika hawasafishiwiNakumbuka wakati nipo bachela enzi hizo nikitaka kuleta demu siku hiyo unapigwa usafi wa maana, nasafisha room vizuri kabisa, inapigwa hadi perfurme... Nafua manguo yote machafu, ghetto linakua linameremeta haswaaa....!!!!
Ila naona vijana wa siku hizi wanaleta demu ghetto chafu, manguo machafu yamejaa wanategemea wasafishiwe na wafuliwe na demu.
Anyways, kweli mambo yamebadilika.
Swadaptaa...nlikuwa na wangu wa hivyo...wanajikuta high branch sanaaWanafunzi wa chuo wengi wapo hivyo.
Wanaume hawajui kuna wanawake hatuwez kamwe kukuhudumia kama mume wakati hujaoa..yaan ww ni mpenzi tuu alafu unataka nikufulie nipike nideki kwako nikupe game Kila ukitaka foolish!Itakuwa ana apply ile kanuni inayosema "don't be a wifey to a boyfriend .
Safi sana, namna hiyo ndio inatakiwa. Sasa hawa uvivu na uchafu tu umewajaa.Nakumbuka wakati nipo bachela enzi hizo nikitaka kuleta demu siku hiyo unapigwa usafi wa maana, nasafisha room vizuri kabisa, inapigwa hadi perfurme... Nafua manguo yote machafu, ghetto linakua linameremeta haswaaa....!!!!
Ila naona vijana wa siku hizi wanaleta demu ghetto chafu, manguo machafu yamejaa wanategemea wasafishiwe na wafuliwe na demu.
Anyways, kweli mambo yamebadilika.
Ndiyo wewe mke wa mleta mada au?Mfyuuuuuh
Na rhumba analisakata fresh au ndiyo ujitekenye na ucheke mwenyewe?Sio mwanafunzi ni mdada ana kazi yake nzuri tu
Ndio ndo mimi mkuuNdiyo wewe mke wa mleta mada au?
Kama una Mpango wa kuoa hiko kiumbe The unpaid Seller ana muongozo mzuri wa kuishi na Wanawake aina hio...Sio mwanafunzi ni mdada ana kazi yake nzuri tu
Huyo anajielewa anakufuliaje na haujamuoa???. Akupikiea ili ugundue Nini, ukimuoa leta mrejesho kama hapiki au hafuiHabarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.
Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli.
Inatosha hiyo.Mchezo anatoa vzr tu
Mchezo si mpaka waoane?πππIla mchezo si anakupa?
Ama hata mchezoni ni mvivu?
Sio kwamba anataka washing machine?Joanah [emoji23]
Jamaa anataka mke sio sex mate.