Mwanamke mwenye mtoto mmoja lakini hana mahusiano ya kimapenzi na baba Wa mtoto wake tena
Umedanganywa wewe, shituka.

"single mother" ndio nini? labda tuanzie hapo
Mwanamke mwenye mtoto mmoja lakini hana mahusiano ya kimapenzi na baba Wa mtoto wake tena
Mkuu bado umri una kuruhusu.. Tupa kuleeeee kama umefanya jitihada za kumrekebisha imeshindikana..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mwanamke mwenye mtoto mmoja lakini hana mahusiano ya kimapenzi na baba Wa mtoto wake tena
Eeeeh!afanyejeee? Upo mzee wewe?
Msimu wa mvua huu fanya kurejea nyumbani.