Mpenzi wangu kuchoka sana ni hali ya kawaida?

Mpenzi wangu kuchoka sana ni hali ya kawaida?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari wana Jamvi,

Nina tatizo la kimahusiano ambalo linanisumbua akili. Mie ni mwanaume, nina mpenzi wangu ambaye tunapendana na kufurahia mahusiano yetu.

Tunapokuwa faragha huwa anachoka sana na kwa ujumla hapendi kufanya mapenzi. Huyu mwanamke nampenda na ningependa awe mke wangu.

Nawaomba wenye uzoefu (hasa walio katika ndoa ama wenye wapenzi wanao ishi nao) mnijuze kama hii hali ni kawaida? Nafanyeje kuiepusha ama kuiondoa kabisa? Nampenda sana na napenda awe mke wangu, ila nataka nijaribu kulitafutia ufumbuzi hili mapema.

Mawazo na ushauri toka kwenu tafadhali.

Asanteni.
 
Sasa kwanini unaanza kumchosha mapema? Si usubiri awe mkeo?
 
Mmmmmh..! Mazingira ya kuchoka yapo mengi ndugu yangu..!
 
Kama kila siku unamdandia tu ataacha kuchoka hata Kama anakupenda!?! Lile penzi uhai Kua mbunifu sio kila siku ngono tu kha! Mtaozeshana miili!!
 
Kuna wasichana wa namna hiyo,ambao Mapenzi kwao sio ishu kuuuubwa sana!, Na huko kuchoka ni hali ya kawaida kwao, kama unampenda muoe , ni bora huyo unaenchosha kuliko unaekutana nae Na kuchoka wewe!,

Oa kaka, mwali huyo!
 
Back
Top Bottom