Mpenzi wangu kanuna

Mpenzi wangu kanuna

Nananine nitike naloli ndosi! Matokeo mwaka huu ni mabaya sana. Nimecheki hata shule jirani na hizo kama Lubala, Kinyala, Kipoke, hali ni mbaya wala sio ya kuleta matumaini. Pole yao. Ndagha kikolo.
Nkamu gwangu hali sio shwarii ningekuwa na mamlaka ya kutenda jambo kusikilizwa serilalini,ningefuta shule zote za kata
make naona yalikuwa maamuzi ya kis....................zi kabisa
Yani sawa na kuongeza idadi ya wake na hali huna uwezo wa kuwameneji
 
Usizuge hapa.... Wote ndo mnaskilizia matokeo....ww kiwira demu wako Bujonde sjui wp.....ss mmefeli.....anapiga hesabu, utamuoa? Maisha yataenda? Polen sana... Chezea Mulugo ww!
 
Usizuge hapa.... Wote ndo mnaskilizia matokeo....ww kiwira demu wako Bujonde sjui wp.....ss mmefeli.....anapiga hesabu, utamuoa? Maisha yataenda? Polen sana... Chezea Mulugo ww!
Duh! mkuu huko mi nishapitaga zamani zile .........2001 na sijapata kikwazo from nursery to ....versity
sa ngoja nikuachie uhisi niko hatua gani kwa sasa baba!!!
 
nawe nuna..dawa ya moto ni moto. mkinuna wote vunjeni laptop mtaona kadude kadogo kakijani ndani kanamatokeo...teeh tehh !
 
Nkamu gwangu hali sio shwarii ningekuwa na mamlaka ya kutenda jambo kusikilizwa serilalini,ningefuta shule zote za kata
make naona yalikuwa maamuzi ya kis....................zi kabisa
Yani sawa na kuongeza idadi ya wake na hali huna uwezo wa kuwameneji



Ndo wanakotupeleka akina Mulugo, Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe. Wanazidi kuliongeza pengo kati ya tabaka tawala na tawaliwa yaani wenye nacho na wasio nacho. Lakini bomu linalotengenezwa litalipuka tu siku moja. Ndagha nkamu, wape pole.
 
Duh! mkuu huko mi nishapitaga zamani zile .........2001 na sijapata kikwazo from nursery to ....versity
sa ngoja nikuachie uhisi niko hatua gani kwa sasa baba!!!
Huyo Shemeji ameshakupa hizo Namba zao maana siku hizi NECTA wanatoa namba tu ya mwanafunzi baada ya Matokeo ya mwaka jana Mtoto wa kigogo kuonyeshwa hadharani kuwa ni yy pekee hakuafaulu hu Sec ya F Dsm
tupe mrejesho wamefaulu au kufeli?
 
Wanajamii naomba mnisaidie kuokoa hili jahazi.........
Mpenzi wangu ana wadogo zake wawili; mmoja amemaliza BUJONDE S.3170 na mwingine
KIWIRA S2395.Lakini tangia jana tunagoogle matokeo yao tunashindwa sasa mwenzangu kanuna
hata kumsemesha naogopa
Jamani nawaombeni mnisaidie nipate matokeo ya shule hizo mbili!

Akijifanya bubu jifanye kiziwi......asikupe headache!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom