Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

5997

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Posts
513
Reaction score
1,209
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
 
ngo
Wasalaam
Wakuu kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
ngoja wanakuja kukupa ushauri ila usichukie tu na wengine watakuomba namba ya mpenxi wako wakusaidie kumpa iyo 30

smartphone kwa tsh 60. which brand? hahaha
 
Nitumie namba yake pm nikusaidie kumpa hiyo pesa.
Binadamu kusaidiana kaka,au vipi?.
 
ngo
ngoja wanakuja kukupa ushauri ila usichukie tu na wengine watakuomba namba ya mpenxi wako wakusaidie kumpa iyo 30
smartphone kwa tsh 60. which brand? hahaha
Kununua kwa mtu
 
Mkuu kwani budget yako kwa mpenzi wako ni asilimia ngapi ya kipato chako?
 
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
Ukimpiga chini si utamuua mkuu?!!
 
Back
Top Bottom