ni kawaida mbona. Kina dada wako emotional sana. Ungemsikia huyu mwingine kanywa sumu kisa kanumba kafa. Anadai imemuuma sana kuliko hata kaka yake alipofariki. "imemuuma sana yani". Bahati mbaya hakufa kama alivyotaka maana walimuwahi.
NB: Nadhan hata kumuona live hajawahi. Wabongo hao.