BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,782
Alipokua anafanya usafi akaziona.
Akawa mkali sana na akasema anaenda kwao. Nikamwambia mke wangu ni rafiki yangu katumia nyumbani. Maana yeye anakujaga kwangu weekend. Amenielewa ila ni baada ya siku nzima na kamwambia mama yangu mzazi.
Jamani wanaume wenzangu tuwe makini na mipira mana ukikutwa.
Nashukuru amenielewa.