Mpenzi wangu jamani

Mpenzi wangu jamani

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,434
Reaction score
510
Naombeni ushauri wenu wana jf!,Nina gf wangu Anatokea Dar anakuja Mwanza na ndege ya mchana huu, cha ajabu nimemwambia kuwa nakuja kukupokea AIPORT amenikatalia anadai nisiende tutaonana nyumbani! Kanipigia tena ananiuliza et kama nimechukia!,
 
msubiri akifika umuulize sisi hatuwezi jua sababu ya kukatazwa.
 
Mkuu huyo,kesha kula kichwa kwenye ndege.Kwani wewe hujawahi kula kichwa safarini.:A S angry:

Duh! Dakika 45! tayari ameshaongea naye, ameshakubalina, wameshajuana na tayari wanaenda wote!!!!???? :confused2::confused2::confused2:
 
mmmh! MMU kuna mambo.
haya labda niseme
kahofia usijeenda na daladala airport??
ama anataka apite kwa aunt ama ndugu kabla hajafika kwako sababu zipo nyingi tu tena zenye mashiko.

kuhusu kuuliza juu ya umechukia yuko sahihi kabisa manake alitaka kujua what was your decision juu ya majibu yake.
si unajua ukishapenda tena kwa dhati?? hutapenda kumkwaza mwenzio. so mwambie ukweli wa wewe unajiskiaje kwa majibu yake.
 
Naombeni ushauri wenu wana jf!,Nina gf wangu Anatokea Dar anakuja Mwanza na ndege ya mchana huu, cha ajabu nimemwambia kuwa nakuja kukupokea AIPORT amenikatalia anadai nisiende tutaonana nyumbani! Kanipigia tena ananiuliza et kama nimechukia!,

Chasugu kaka,
huyo anakupunguzia mzigo c ushukuru jamani, sasa hapo ubaya upo wapi hadi utafute ushauri, kwanza anakuja kukuona wewe au ankuja na zake ila atakuona by chance?
 
nafikiri labda kuna ndugu zake wanakuja mpokea ,na asingependa ufahamike nyumbani kiholela kwani wewemmewe?
 
Ulipashwa umuulize sababu za kukukatalia kama zina mashiko au la? penigne ni kama alivyosema Nivea, pengine kuna ndugu zake naye hajakurasimisha kwao! vinginevyo inaleta maswali mengi kama haujajua sababu! pole mwaya asije tu akawa na viwanja vingi! sasa kulikuwa kuna haja gani ya kukwambia anakuja na usafiri upi? mhh:A S angry:
 
Mkuu una gari?kama huna basi kuna mwenye gari anakuja kumpokea...!!
 
Mkuu huyo,kesha kula kichwa kwenye ndege.Kwani wewe hujawahi kula kichwa safarini.:A S angry:

Siku hizi kwenye ndege hawazimi simu mpaka ale kichwa kwenye ndege muda huohuo apate na muda wa kwasiliana na mrembo wake? mdau Lisa nimeona observation yako uwezekano wa kutendeka yote ndani ya 45 minutes
 
Last edited by a moderator:
Nenda ukajionee sababu ilomfanya akatae, na usimwambie kama unaenda.........

Anaweza akaambulia kilio baada ya kutomkuta airport kumbe aliingia juzi yake yupo mjini anakula bata ili mida ikifika ajifanye ndio ameshuka siku hiyo
 
Naombeni ushauri wenu wana jf!,Nina gf wangu Anatokea Dar anakuja Mwanza na ndege ya mchana huu, cha ajabu nimemwambia kuwa nakuja kukupokea AIPORT amenikatalia anadai nisiende tutaonana nyumbani! Kanipigia tena ananiuliza et kama nimechukia!,

hahah njemba kakamatia na kulipia ticket ya ndege amgegede vizuri hukomwanza...lol easy jet...enabling people to easily gegeda wake za watu!!!!
 
Fast jet nauli 32,000 tu imekuja na matukio yake.. Ngoja tuone mwisho wake we nenda airport na usisahau kutuhadithia kitachotokea
 
Back
Top Bottom