Mpenzi wangu huyu kanishangaza sana.

Mpenzi wangu huyu kanishangaza sana.

Sasa mkuu mwenyewe umesema alikuuliza maendeleo ya biashara ukamjibu poa wakati haikuwa poa "ulisuasua".
 
Sasa mkuu mwenyewe umesema alikuuliza maendeleo ya biashara ukamjibu poa wakati haikuwa poa "ulisuasua".

Mkuu hujasoma kwa undani wa nilichokiandika umesoma juu juu
 
Ukiona mwanamke analeta visirani visivyoeleweka, au anataka muachane kirahisi hivyo, ndugu yangu jua kwenye ile list yake ya mabwana anakudelete huna dili tena kwake 😒.
Mpe kisogo.
 
Ukiona mwanamke analeta visirani visivyoeleweka, au anataka muachane kirahisi hivyo, ndugu yangu jua kwenye ile list yake ya mabwana anakudelete huna dili tena kwake [emoji19].
Mpe kisogo.

Poapoa
 
TENA HAWA WA SIKU HIZI AKIRUDI, ANARUDI "WAHUNI WAKIWA WAMEISHA MBANDUA HADI PICHA ZAKE ZA UKUTANI"
Dunia inakimbia kasi ya kimbunga.
Sio kumsubiri muda mrefu, muda mfupi tu, no longer than 3 months
 
Back
Top Bottom