Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,696
- 55,988
Unataka akukodie kikundi cha kukusuta? Jiongeze basiJamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Ukimpigia simu inakatika viunoJamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Nimeona hii calculation nikamkumbuka Debora aliniacha kisa hili swali lilinitoa jasho mbele ya mwalimu msengi .Mambo madogo kama hayo huwezi ku solve ukiletewa huu mzigo wa differentiation utatoboa ww
View attachment 3339065
ππππππ Mkuu mbona mambo madogo hayo an ni sawa na kusukuma mlevi shimoni...Nimeona hii calculation nikamkumbuka Debora aliniacha kisa hili swali lilinitoa jasho mbele ya mwalimu msengi .
Save hii no. ya AI, Chat nalo WhatsApp litakupa ushauri mzuri kuliko hapa +18002428478Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Uhakika broπππππ pamoja sana bro
umeshatemwa mrudie muumba wako ukatubuJamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
UMEPIGWA!!Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
huenda ujauzito si wakwako hatak kukusumbua, tulza komwe usubir matokeo mkuu.. Kuwa na subira usiforceJamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Hakika siku mpenzi wako akijamba utaleta hapa hiyo taarifaJamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?