Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

Ha haa kama namuona vile anavotimua mambio na kufuli mkononi (joking).

mkuu kwl upele humpata asie na kucha............

kijana kashindwa kaz anipe zabuni angalau ka usiku kamoja tu
 
Mlie virona 5 vya konyagi kama unapitiaga hz mambo! Au lah gonga asprin 3 then pumzika nusu SAA hatimaye uanze gemu lzma ataomba poo tu.

Huo mchezo acha haraka sana kabla hujaja hapa kuomba ushauri baada ya jogoo kugoma kuwika mpaka ujidunge hayo maasprini yako
 

Yeah this works but kuna ile nyingine inaitwa thenth once what u do is
While pumping unahesabu moja mpaka tisa ile ya kumi unavuta pumzi moja ndeef ili kuondoa oxgen kwenye misuli until uamua kupiz then u piz
 
Last edited by a moderator:
Wanaume hudhan idadi ya magoli is a big deal...a really man anacount ubora wa goli with some merits..

*kabla hujaanza mechi jiulize maswali mengi tu, mfano je unajiridhisha mwenyewe au katika tendo hilo unadhamilia kumridhisha pia mwenzio (je utamridhishaje?)

* Ni style zipi zinazokupa hisia kali na kikusababisha kufika kileleni mapema? kama zipo tafadhari zitumie kidogo sana..

* Round ya kwanza hakikisha unatumia kati ya dakika 25-40 without break in between maana uki break utakwamisha safari ya matumaini ya mwenzio

* Hakikisha hutumii style zinazo muumiza mwenzio maana kama anapata maumivu hatafikia kilele kiurahisi

*Round ya pili ndio hasa itakayo determine kama wewe ni mwanaume, tumia kati ya dakika 30-60 kufika kilele (yeye atafika mara 2 au 3) lakini pia itatokana ujuzi flan flan utakaokuqa unafanya in btn

Kwa mimi ninavojua na kwa uzoefu, nikifanya round 4 bila condom, akitoka hapo atahitaji chakula cha kutosha..


 

Waooooooohhh...! Thats wat im talkin about...!
 
Huyo bidada ana-kamdudu kanamuwasha kwa ndani jitahidi kunywa supu ya pweza ukasugue hadi kaishe ndo ataacha kunyanyua mijuu guu.
 
piga mashine kama unaua paka utaona kama akimbii nakusahau chu.....p
 
Dawa ni rahisi tu.Piga matizi kuongeza stamina na unapokaribia kutoa wareno basi kumbukia msiba wa mtu wako wa katibu uliyempenda au kumbuka ile siku uliyochacha sana.Utaniambia

Hahahahahahhahahahahahahahahahhha hii huwa naitumia sana, unawaza hata unafumaniwa kasi inapungua unaendelea kusugua hata more than 45 min
 
Jitahidi masaa matatu kabla ya kumgonga huwe umetafuna MIZIZI YA MWAROBAINI bila kushushia na kinywaji chochote.

Mkuu Kizzy Wizzy njoo labda unaufahamu wa hili tatizo
 
Last edited by a moderator:
Kuna topic huwa nasoma mada then nina comment

Ila topics kama hizi huwa nasoma kila comments.. Na ninapoona neno ends huwa na kwazika...mno

Mi najiuliza hivi assume huyo ndo mkeo then yupo hivyo what would you do?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…