Mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi, naombeni ushauri

Mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi, naombeni ushauri

Pole sana, mimi binafsi mwanamke nikiwa naye ndani ya wiki moja au mbili tu, anipe papuchi, halafu sasa huduma ndio zianze, hayo mambo ya subiri ndoa, mie siyataki. Pia yote kwa yote, hata ukinipa papuchi, sio kwamba ndio mkataba wa mimi kuwa na ndoa na wewe.
 
Huyo kachoka kula mchicha kila siku jiongeze badili menu uone kma hajatanua miguu.mpnz y sasa ni hela tu haijalisha wewe hb muuza sura tumia hela uitwe bebi,dady,boss etc
 
kwan we unahtaj sex au unahtaj kuish nae?? kama unahtaj sex achana nae usmrudie ila kama unamuhtaj bas wasiliana nae
 
Kwani Ni hela basiiii , ebu muulize kiasi gani?

Sasa mkuu we unadhani nini,jamaa anabaniwa,wanapotezeana,from no where anamtafuta tena jamaa,jamaa hapo mwanzo alishasema alikuwa anamsaidia
 
endelea tu kumvumilia, na pia endelea kutofanya taratibu zozote za kutaka kumuoa.
 
Mkuu Mbona Scenario yako inaendana kama na uzi wangu wa Tarehe 23/2 mwaka huu Hataki Tufanye sex zaidi ya Romance mpka ntakapomuoa
 
Ameweza kuthibitisha hisia zake kwako maana baada ya kukukatalia ulikata kamba. Alijua zile zawadi zawadi zilikua ni chambo tu.

Wewe Endelea tu na hamsini zako, mahusiano ni zaidi ya ngono.
Heshima yako mkuu.
 
Mademu wa hv mara nyingi huwa wanakuaga wabovu sana,binafsi nilikuaga na wa hivi ila siku moja nilimkazia sikutaka kumuelewa, ile namvua sidiria tu maziwa yanaporomoka kama mawe ya mgodini, ile kuingiza mashine kwenye papuchi tu daaah nilichoka......
 
Back
Top Bottom