Usipandwe na pressure ndugu yangu...ndio kukua huko.Mkulima akipanda mazao shambani anategemea nyasi za aina zote kuota na kuzipalilia ikiwepo sangari...Nakuombea kwa Mungu akupe uvumilivu,zaidi ya hapo sina ushauri mwenzako. Wapo wenzako ambao wake zao wakiwa kwenye khali hiyo wanamtamani babamkwe. Si jui wewe ungesenaje baba yako akitamaniwa na mkeo kila saa anamtaja na kutaka kuongea nae kwenye simu kama vile boyfriend wake.😛ray2:
Usikate tamaa yote hayo yana mwisho wake. Na akija kupata mimba nyingine kutakuwa na mabadiliko,waweza shangaa akataka hata usiende kazini ukae nae tuuu ukilishika shika tumbo na wengine wanataka uendelee kufanya nae tendo hadi siku ya kwenda kujifungua.Mkuu,
Huwa akinitimua home au tukigombana anampigia simu Rafiki yetu sote tukifahamiana toka naanza nae uhusiano huyo ndio huwa anamuelewa na kumtuliza watapiga story na kutaniana mpaka hasira ziishe ndo kidogo maelewano yanapatikana...jamaa asipokuwepo napata shida sana
Bob Lee Swagger
Unataka kuniambia atakuwa hivyo mpaka anajifungua?!si nitaisha?!
ss si nawaona jaman
Nimeshapata nilichohitaji kujua....hongera kwa kujifunza kwa bidii hata ukifika hutateseka sana.
huyo wa kwake anajifanyisha tu hamnaga kitu kama hicho!!kasikia tu kijiweni na saloon basi anaaply hebu mkaripie uone asipofyata mkia wake atakuchoma na kisu useme ni miiiimba hiyoooo.hata tembo anabeba yake 2years na hana mbwembweVumilia, akijifungua yataisha. Huwa yanawatokea baadhi ya wadada/wamama wakiwa wajawazito.
Pole
sasa utasimulia nini baadaye????
It is worthy it, so enjoy the rare and special moment. jifunze kuona positive things ndani ya mabaya!
huyo wa kwake anajifanyisha tu hamnaga kitu kama hicho!!kasikia tu kijiweni na saloon basi anaaply hebu mkaripie uone asipofyata mkia wake atakuchoma na kisu useme ni miiiimba hiyoooo.hata tembo anabeba yake 2years na hana mbwembwe