Mpenzi wangu hataki kunipa tunda, nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wangu hataki kunipa tunda, nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jeff, Dec 7, 2009.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  wana JF, nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
  sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh, swali gumu!.
  ngoja nikafikirie kwa umakini zaidi, kesho asubuhi dataz ntakumwagia.
  ila kwa sasa kama kweli unampenda wewe vumilia tu.
  kuna watu wanafukuzia demu kwa miaka 2, sembuse wewe na tunda umeshakula?.
  mpwa mvumilie tu, kama kweli unampenda basi "SUBIRA YAVUTA KHERI!"
   
 3. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hehe mkuu mbona hiyo simple tu yaani hapo kazi na faida ya spare tairi ndiyo inaonekana wazi wazi.....lol......
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kakak huyo wako wala usiwe na haraka namna hiyo utammega mpaka uchoke vumilia baba, hawa wenzetu wanapenda sana kuonyweshwa kwamba unawajali na ku care so vumilia baba
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  wa ukweli huyo K. Vuta subira au harakisha ndoa!! unataka kumega megatu alafu!! kama umemis sana fungeni ndoa fasta ili ule halaal!!!
   
 6. D

  Dear Member

  #6
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Vumilia baba,uyu binti ni wa ukweli kabisa,au kama vipi funga ndoa naye now now
   
 7. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135


  yeye mbona ataweza kukaa muda wote...jaribu kuwa mvumilivu...fikiria upande wa pili wa shilingi,naye akifikiria kukusaliti itatokea nini?

  maana pia mademu wengine wanajifanya wana adabu na hawapendi dhambi kumbe wanamegwa pembeni,kwako anakwambia mpaka ndoa.
   
 8. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mpwa mwaka na zaidi si mchezo kukaa bila hiko chakula,kwani nilikubali lakini sasa naona inanishinda,mana kinachofuata ni kumsaliti,ndio mana sielewi nifanyeje hapa
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  oa. ufanyeje ufanyeje, we mpwa inaelekea unataka kudonoa donoa afu uje umwachie nani makombo???
   
 10. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiongozi Kunambi kumbuka kuwa wapenzi sio lazima saana kwenda kitandani,kwenda kitandani ni sehemu ndogo saaana katika issue nzima ya mapenzi,kama mwenzako anaona kwenda kitandani ni dhambi mvumilie mpaka utapojihalalishia,kua mvumilivu kiongozi,na mambo mazuri hayataki haraka kiivyo!!!
   
 11. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kufunga nae sasa sio rahisi kwani hatujajiandaa lolote na mimi ndio natafuta kazi sasa kwa hiyo sina kitu
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ma care nampa kama kawa ila tatizo kwenye kumega ndio kanigomea sasa,na mimi namhitaji sana,sina pengine pa kumega kupoteza muda
   
 13. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hilo kumbe umeliona mkuu akishajua nawe unampenda bassi ndio anafanya hivyo,anajifanya ana msimamo kwangu kumbe anamegwa nje,ndicho hasa ninachoogopa anaweza akawa anamegwa na wengine
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280

  mkuu, umechunguza kwa nini mwanzo alikupa na sasa hivi amekugomea>? au hakuijua dhambi mwanzoni? au ndo 'ametubu'

  chunguza, unaweza kukuta unaibiwa hivi hivi lol

  halafu hilo la harusi, wataka ila ya mabilioni ama niaje, najua ni ngumu kwa sasa hivi lakini kama mpo mkondo huo ada ya ndoa ni kidogo sana that means uachane na mambo ya sherehe,

  otherwise, mkalishe chini umeweleza hatari zilizopo usikie atasemaje.
   
 15. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  sio kudonoa donoa bht, ni kweli namhitaji, kwani akindelea kunipa vibaya as long as anajua kuwa nampenda na namhitaji pia,kwa na nilishamega kwa nn asiendelee kunipa tu tufurahie mpaka tutakapofunga ndoa?
   
 16. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii ni dhambi vumilia wewe
   
 17. F

  Future Bishop Member

  #17
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Kunambi, umepata msichana/binti mzuri ambaye anatambua kuwa hahitaji kuwa na mahusiano ya kimwili na mvulana mpaka afunge ndoa.

  Ni bahati mbaya kwamba umemshawishi mpaka akalazimika kufanya kitu ambacho moyo wake haukuwa unapenda. Hili inawezekana likawa dosari katika ndoa yenu kwani mkishaoana inawezekana akakumbuka na akakosa kukuamini. Kwa maana ya kuwa kama ulimmega kabla hujamuoa inawezekana ukamega hata wengine.

  Ni bahati mbaya kwa dada zetu kwamba wakati mwingine wakipenda sana wanajikuta wanakubali anachohitaji mpenzi wake kwa kuhofia kumkosea au kumkosa kwani anakuwa hana uhakika wa kumpata mwingine.

  Nakushauri vumilia, na shida ni kwa sababu umeshaanza kumega. Hata tuliooa/kuolewa ndiyo maana tunda linakuwa tamu kila iitwapo leo na unatamani usilikose. Kinachotakiwa vulimilia na fanya mipango ya kufunga ndoa; tunda litakuwa halali yako kila siku (kama utaweza).
   
 18. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180


  Mhh, Ngoja ngoja utakuta mwana si wako. Unaweza ukawa mvumilivu ukala zilizo oza badala ya mbivu.

  Mapenzi yapo ya aina nyingi, kuna mapenzi ya kaka na dada au mama na mtoto, haya huwa hayaendi kitandani. lakini ukimwambia mwezako kuwa mapenzi sio lazima kitandani utakuwa una mpotosha kwani wamechangia damu mpaka akae mwaka mzima bila ya kwenda kitandani!!!??
   
 19. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kama nikishindwa hapo nilipobold? na ndio tatizo lilipo hapo
   
 20. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  wATU WALIOTEKWA NA SHETANI UTAWAFAHAMU TU, KWA KUENDEKEZA UZINZI USIO NA MAANA, KWANI KUZINI NI CHAKULA KWAMA UKIKOSA UTAKUFA? SASA HATA KAMA UKIWA TAYARI UMEOA THEN MKEO ANAPEWA OPERATION NA HATAKIWI KUFANYA TENDO LA NDOA UTAFANYAJE? AU NDO MASUALA YA JOLLY YANAPOCHUKUA MKONDO WAKE? INAWEZEKANA KABISA KUKAA MIAKA ZAIDI YA MMOJA BILA KUMEGA NA HAISUMBUI SANA UNACHOTAKIWA NI KUUKUBALI UKWELI KWAMBA MWENZAKO AMEONA MNAFANYA DHAMBI.
   
Loading...