siku ya harusi yetu kwenye kile kipengele cha bwana na bibi harus watufungulie music itakuaje unadhan mkuu?si ataniaibisha mkuu?
Yani mapenzi ni shughuli. Kucheza music ni kigezo pia siku hizi, kazi kweli kweli
Maneno ya kitoto, mtoto kumwambia mtoto mwenzie tunasema watoto wanacheza.
lakini
Maneno ya kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzie tunasema huo ni.......................................................
Shangaa na wewe ndg yangu, kazi ipo nakwambia!!!
Mwenyewe anadai atataka wacheze show siku ya harusi yao
siku ya harusi yetu kwenye kile kipengele cha bwana na bibi harus watufungulie music itakuaje unadhan mkuu?si ataniaibisha mkuu?
nlimuulza akanambia ye music co hobby yake.
nlimuulza akanambia ye music co hobby yake.
mfundishe pole pole anza na hii nyimbo ya PACHA WANGU by rich mavoko. Unachezeka vizuri atazoea tu