Mpenzi wangu hafiki kileleni

Aliywmfikisha kileleni yupo humu Jf weka namba za mpenzi wako.
Utatuzi tayari labda una jambo tofauti
 
Niliwahi kuwa na mwanamke wa aina hiyo, ila yeye aligundulika kuwa na uke mkavu na hormone imbalance.
Baada ya kupata tiba alianza kukisogelea kilele hatimaye alifika kabisa.
 
Mi sina hisia. 'Inaumuka' usiku kati tu. Siwezi mechi za chapchap!!!
 
Mbona simpo..nipe namba yake..nimpe ushauri..zen kuna practical sessions..so atakua anakuja mara moja moja..ili kuimprove safari yake ya kilele.
 
mtafutie toi za umeme mbona atafika tu hlf unamalizia mwenyewe...[emoji16][emoji23][emoji1787]
 
Jaribu pia kwa mchepuko..alaf utupe mrejesho..
 
masengobangu kama bado hujapata suruhisho, mlete kwangu nimzibue mirija na mishipa ya fahamu kwa katerero au kunyaza au kachabali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…