Mpenzi wangu anikacha, aolewa na mzee

Acha waje kwetu kwakuwa sisi twajali sana, hao vijana wenu chips yai hawawezi hata kufungua chupa ya maji ya kilimanjaro au wavivu hata kukwangua vocha ya simu.
Miaka minne yote niliyokuwa naye tangu chuo hayo yote hayakuepo au chips ndio zmekuja kipindi hiki
 
Hii ndo ktu ambayo inananifanya niwe na malengo ya kuoa lakn sijaandaa wa kumuoa mpaka ntakapo kuwa tayari ndo natafuta
 
Miaka minne yote niliyokuwa naye tangu chuo hayo yote hayakuepo au chips ndio zmekuja kipindi hiki
Kwahiyo we ulitaka umchezee tuuuu, wakati hata hela ya pedi humpi? mwenzio nae anatamani kwenda vakasheni Dubai na Uturuki wewe hata Bagamoyo hujawahi mpeleka.
 
huna shoo za kibabe nini mdau ndio maana umekimbiwa
 
Mabeni Teni tunaonewa na wazee wa pesheni
 
Kwa mfano.
1. Una kibamia
2. Pesa huna
3: hujui kubembeleza
4: bahili kama nn
5: hamthamini na kumjari mwanamke.

Hivi kwa haya yotee akupende nani??? Wacha wazee wale vyao.nyie kamaeni na ubahili wenu.
 
Acha kulalamika mkuu, babu atahamishia dudu kwenye kidevu, oohooo! We haya
 
Karibu kiumeni. Now be a man.. tumia hayo maumivu kama chachu ya kutafuta mafanikio.
 
Kachoka na tamthiliya ya the long wait ..maan MNA miaka mingi ya mahusiano na kumuoa had upate kuajiriwa...what if uspopata kuajiriwa atangoja had uzeen?!...muache tuu aende huenda hakua fungu lako
 
Mkuu pole sana ila unajua kuna wanawake wengine wanajitambua,huyo mdada kama kukusubiria amekusubiri sanaaaaa,ivi tangu chuo uko nae ulishindwa hata kumvalisha pete ya uchumba? ulikua una dhani yupo tuuu na unataka akustahmilie mpaka lini dalili ipi ulomuonyesha kua nataka uwe mke wangu?
muache akastiriwe,huyo unaemuona mbaba ameweza kufanya maamuzi wewe kijana umeshindwa,nini amekosa kwako?
ivi ulisha wahi kumuliza nini nikufanyie ufurahi zaidi au ulifikiria kua umemkoleza kapagawa?
mkuu muombe kheir awe na ndoa ya kheir na wazee ndio wanajua ku enziii wanajua nini mpenzi wake anataka kusikia na wakati gani utajua haya na wewe ukiwa mzee, kila la kheir inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye kheir na weye..
 
Mkuu kama ulikuwa hupekechi vizuri sahau maana hataona tofauti na huyo mtu mzima.

Kama ulikuwa fresh atarudi tu akimiss japo utakuwa si mmiliki.
 

Pole, kinachosikitisha ni kwamba atakuja kurudi na haitawezekana
 
Umetoa ukweli mtupu mkuu

Ila tulikuwa tumependana, kuaminiana na kuvumiliana sana pia tuliahidiana mambo mengi ikiwemo ndoa,
Nimekubali ndio hivyo natafuta mwingine naamini nitapata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…