Mpenzi wangu anavituko

Mpenzi wangu anavituko

Hamud Nassor

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Please wanajamii wenzangu,

Mpenzi wangu ana vituko vingi sana, nimejaribu kumvumilia lakini nimefikia hatua nimechoka. Naomba mnishauri ili nimsahau kabisa akilini mwangu, maana nampenda sana. Kiufupi ameitawala akili yangu, nataka tuachane lakini bado nampenda.

Naomba ushauri wenu; nifanye nini ili nimsahau na kumuona kama wa kawaida sana tu?

Ananifanyia vituko; sometimes nikiongea nae kwa phone anaweza hold simu yangu then anapokea simu za boys, wanaongea mpaka badae ndio ananiconnect again.

Muda mwingine amekuwa akikataa kuongea na mimi. Kama zamani we spent muda mwingi pamoja but nowadays kachange na nimewahi mfuma yuko busy mara tatu saa tisa usiku akiongea na simu, so nlikuwa nataka nimeuache lakini nashindwa.

Ushauri jamani wanajamii.

Hamud Nassor

Mtafutie Sub , tafuta demu mwingine spend most of ur time with huyo mwingine.

Ukitaka kuacha lolote tafuta sub ya kukireplace muda wa kumuwaza utumie ku date na demu mwingine, Wazi…!?
 
Last edited by a moderator:
hamud Nasso

Ukiona bado unampenda pamoja na vituko vyake ujue ndo umefika hapo wala huhitaji ushauri!! Utasikilizaje ushauri wakati umependa?? Sikiliza moyo wako bana
 
thank u we umenielewa vzr
 
Huyo sio demu ni futuhi
 
Ukiona bado unampenda pamoja na vituko vyake ujue ndo umefika hapo wala huhitaji ushauri!! Utasikilizaje ushauri wakati umependa?? Sikiliza moyo wako bana

i mean nataka anitoke moyon mwangu maana naumia kila siku
 
Hamud Nassor

nipe namba yake halafu, nitakapokuwa namtumia sms za malovee, wewe unajifanya kuazima simu yake ,utakapoziona itakuwa sababu tosha ya kumuacha.
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada nahisi wewe mwenyewe tu ni tatizo, n'na mashaka sana kama unajitambua.
 
Mimi nilijua anavituko vya ucheshi kama mimi kumbe huyo ni matimbwiri.
 
hamud Nasso

Wallah utakufa kwa pressure wewe, soon utakuwa historia.. Kwani yupo peke yake? For your information wewe hata haupo kwenye level ya spare tryre.
 
Last edited by a moderator:
Hamud Nassor

No comment maana hata wewe mwenyewe una vituko!! maana hiki ulichopost hapa ni kituko!!
 
Last edited by a moderator:
Hamud Nassor

Mtafutie Sub , tafuta demu mwingine spend most of ur time with huyo mwingine.

Ukitaka kuacha lolote tafuta sub ya kukireplace muda wa kumuwaza utumie ku date na demu mwingine, Wazi…!?

Km timu tu vile akizingua huyu una mweka aliyesub
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom