Mpenzi wangu anavituko

Mpenzi wangu anavituko

Tafuta kitu cha kukuweka busy, Jitahid kumpigia simu mzazi wako na kuwajulia hali ya siku mpya
Pili ifute namba yake mfanye rafiki wa kawaida sana hata baba mwenye nyumba amzidi uthamani mkuu haa haa.
 
..........Pole sana! Kwa kuwa umeshasema ameitawala akili yako na unataka umsahau, nakushauri uzitoe hizo akili zinazosababisha akutawale ili ubakie bila ya akili utafanikiwa kumsahau vinginevyo sahau kuhusu kumsahau.
 
kijana hamud nassor,maisha nijinsi utakavyo panga uishi na kuhusu mpnz wako huyo achana nae kwanj kama yupo bize na wanaume wengine kiufupi c wako pekeyako na kuendea kuwa naye nikujitafutia gonjwaa ukimwi,mpige chi i anza maisha mapya huyo atakupasua kichwa tuu
 
Mtoa uzi the way ulivyoandika tu..na ww unaonekana unavituko...
 
We naeee hebu kaza bana!
Mbn umelegea hivo!
Mkirua shem wangu upo?
Mekumith semekiii!
 
Last edited by a moderator:
utamwachaje akat bdo unampenda? hlo halwezekan tafta way ambyo itakfanya ucmpende,then ndo ujichange
 
Back
Top Bottom