Mpenzi wangu anataka sana nimpe mimba; je, ananipenda?

Kesho usije ukatujia tu na thread "nimejikuta nina watoto kadhaa nje ya ndoa, nachanganyikiwa", sijui "kwa nini wanawake hamtaki kulea watoto wetu?. Mwanakuyatafuta mwanakuyapata
 
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli au anaweza kuw na lingine msaada
Amekwisha ona hakuna dalili ya ndoa hapo, hiyo ni route B kufikia familia.
 
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli au anaweza kuw na lingine msaada
Mbona profile una miaka 24?
 
Ni jambo la kheri lakini ni vizuri ukachukua tahadhari. Yawezekana kashatungwa kitu sasa anatafuta pa kutulia. Nin unapaswa kufanya tumia akili kubwa kumshawishi ukapime ujauzoto. Hapa unatakiwa kutumia akili na maarifa kidogo. Kama huwezi kumwambia direct mwambie mkapime malaria na choo. Hawa viumbe kwa sasa hawaaminiki.
Kumbuka mtoto ni Baraka ndani ya familia na kama ametaka mwenyewe fanya ivyo usije ukalea ya wenzako. Ni ushauri tu mkuu
 
Isiwe anakulazimisha baadae aseme tayari umemjaza kumbe anakubambikizia alikuwa nayo toka kwa mwingine
 
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli au anaweza kuw na lingine msaada
Hakika wewe ni mbegu bora ila hapendi uwe mumewe na anapenda mimba yako tu
Pole
 
Yan huyo lengo lake aishi na ww na atak kukuacha sasa anataka umpe mimba ili ucweze kumuacha uishi nae ila mjaze tuu sikataka yy
 
Kamwambie yeye ni mjinga...mnk kutaka mimba kabla ya ndoa ni kuprove hajielewi hapo ht vikao vya harusi hajui km vitakuwepo..tumechoka kushauri..sisi
 
Kwanza umeshasema mnapendana alafu unatuuliza.
Pili embu jiulze angesema hataki umpe mimba ungetuuliza anakupenda au anakuchukia?
Tarafari.
 
Ni jambo la kheri lakini ni vizuri ukachukua tahadhari. Yawezekana kashatungwa kitu sasa anatafuta pa kutulia. Nin unapaswa kufanya tumia akili kubwa kumshawishi ukapime ujauzoto. Hapa unatakiwa kutumia akili na maarifa kidogo. Kama huwezi kumwambia direct mwambie mkapime malaria na choo. Hawa viumbe kwa sasa hawaaminiki.
Kumbuka mtoto ni Baraka ndani ya familia na kama ametaka mwenyewe fanya ivyo usije ukalea ya wenzako. Ni ushauri tu mkuu
mimba hana nlimpima juz,coz alikuwa anaumwa nkamfanyia check up mwili mzma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom