Mpenzi wangu anataka nimkopeshe laki 8

Mpenzi wangu anataka nimkopeshe laki 8

mambo vipi wakuu..
kama headinf inaavtojieleza je nikifanya hivo ntakua nakosea na je anaweza kunirudishia kweli au ndo changa la macho afu aingie mitini?
Mwenzio kakuomba umkopeshe it means atakurudishia sasa ww unaanza kulialia na angekwambia naomba unisaidie ungemsaidia kweli? Hebu mkopeshe mwenzio huko wacha kulialia
 
mambo vipi wakuu..
kama headinf inaavtojieleza je nikifanya hivo ntakua nakosea na je anaweza kunirudishia kweli au ndo changa la macho afu aingie mitini?

Sasa mkuu ukituuliza sisi kama ataweza kukurudishia tutajuaje aisee? Kwanza hatujui tabia yake ni wewe ndiye unajua kama ni Mwaminifu au La.

Pili inategemea ukaribu wako nayeye ukoje na pia kipato chako pia kikoje.

Nakushauri:Kama ni Mkeo na anataka kufanyia issue ya msingi mpe tena muongezee iwe M 1,kama ni hawara usimpe.
 
Inategemea mkoje Na huyo Mpz wako,mf Mimi enzi Za uboyfrnd Na ugirlfrnd tulikuwa tunakopeshana pesa Na baba watoto wangu,mmoja akiwa Na shida ya mkopo anakopa Na anasema atarudisha lini..
So wewe ndo unaemjua Mpz wako,kaa utafakari
 
Usijitengeneze mazingira ya kuharibu mahusiano yako usimpe iyo ela labda umpe kama kumsaidia tu lakin c kukukopesha pesa ina uma utapata hasira ns mwanxo wa kuvunja penzi
 
Kama Ela Ipo, Mpe!! Na Unapompa Hesabu Umempa Aujamkopesha Na Ikitokea Amekurudishia, Sawa!! Muhimu Weka Akilini Kuwa Umempa Na Si Kumkopa!! Sumtime Tunapotoa Kitu, Tujue Tunatenda Mapenzi Ya Mungu Anavyotaka. Mimi Nitaangalia Kma Inaniruhusu Kumpa, Nampa!!!
 
mambo vipi wakuu..
kama headinf inaavtojieleza je nikifanya hivo ntakua nakosea na je anaweza kunirudishia kweli au ndo changa la macho afu aingie mitini?



rejea uzi wangu hapo!
je,mna mpango wa kuoana?yaan mmekwisha tambulishana kwa wazazi pande zote?,au umetoa mahari?, au ndo mpo kwny mahsiano bubu tu? au ndo yale ya kuonana kwny mtandao lkn hamjuani?, je,mpo karibu tu yaan kitongoji ki1?

lazma ujue hayo,na ujue uhusiano wenu upo ktk level ya kuoana, na je mchungaji wako anajua mahsiano yenu?. uctoe tu maana hao watu wanakuaga na maneno mazr wkt wa kuhtj ili wapate.

Mungu Akufungue Macho Uone Ktk Jina La Yesu Kristo.
 
....alokwambia wapenz wanakopeshana n nan...mpe ila jua hazirud..nlishakopwa sasa zaid ya mil.2 na afu wala sidai na najua atanikopa tena...
 
Inategemea na uhusiano wenu upoje hata kama haujaelekea ndoa au uchumba.Inategemea na huyo mpenzio yupoje kwani wewe ndo unamjua vizuri.Mimi nimewahi kukopeshana na my bf sana tu na tulikuwa tunarudishiana bila ugomvi na mpaka tunaachana nlikuwa namdai na alinilipa.Hivo hapo inategemea mtu akiwa mrushi hata ungekuwa umemtolea mahari atakutapeli tu.Ukiona anafaa kupewa na atarudisha mpe otherwise mwambie huna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom