Mpenzi wangu anapiga punyeto

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,386
Kama inavyosomeka hapo juu,

Nimekuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa miezi mitatu, lakini cha kushangaza alikuwa haniombi mchezo, nikawa najiuliza huyu kaka miezi mitatu sijawahi kusikia hata akiniomba mchezo kama walivyo wanaume wengine ambao wiki moja tu ameishaomba mchezo.

Basi juzi nilimuomba makusudi nikamsalimie kwake, akakubali, nilipofika kwake na kwa vile nampenda niliamua nimchezee ili ajue kuwa nataka mchezo.

Nikawa nimekaa naye kwenye kochi namtomasa tomasa, nikaona kama anataka, nikanyanyuka nikavua nguo nikaoge kwanza, nilipomaliza nilimshika mkono tukaingia chumbani, basi tukaanza kuchezeana lakini dudu yake haikusimama, nikabembeleza hakuna kitu.

Basi nikamuuliza una matatizo gani? Akanijibu labda ana stress, mawazo, labda siku nyingine itasimama, basi nikamuaga akaniitia tax nikaondoka, ila wakati tunaondoka kama mita 200 nikamwambia driver nimesahau hereni zangu nirudishe nikachukue, dreva akanirudisha, nikashuka na kuingia ndani bila hodi, chumba chake kina bafu humo humo, nilipoingia hapo chumbani nikasikia sauti kama yupo mchezoni, nikajiuliza huyu mwanaume ana nani bafuni ambaye wanafanya naye mambo, kwa kweli sikuvumilia nikafungua mlango, paap namkuta mwanaume anachua uume wake mpaka anakojoa shahawa.

Nikasikitika sana, nikamuuliza kulikoni mbona hivo, akakasirika na kuniambia niondoke, basi nikaondoka, hata sikuchukua hizo hereni, nikachoka mwili mzima,na kutikisa tu kichwa.

Najiuliza nimsaidiaje huyu mwanaume,? Ushauri wenu tafadhali
 
Umekosea sana kusikitika, hapo ulitakiwa umpige tafu then mnahamia kunako bed. Usingeonyesha kama ni kitu cha ajabu kufanya. Sasa ili akurudie, mwambie na wewe huwa unafanya kamchezo hako hivyo unaomba mfanyage wote
 
Nadhani hiyo nyeto ingependeza kama ingepigiwa ndani ya papuchi yako.ila kwa kifupi jamaa hana mshawasha na wewe, jipendekeze kwangu uburudike,vinne kwa saa !!
 
Nadhani hiyo nyeto ingependeza kama ingepigiwa ndani ya papuchi yako.ila kwa kifupi jamaa hana mshawasha na wewe, jipendekeze kwangu uburudike,vinne kwa saa !!
Muuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…