Mpenzi wangu anapenda msosi kuliko kufanya mapenzi

Mpenzi wangu anapenda msosi kuliko kufanya mapenzi

acha uboya wewe, unataka tukuone we expert wa kusex au
 
kwa sababu wewe ni kibalaka na ndondocha wa ccm hivyo nawewe utakua umemuahidi mambo mengi uliyoshindwa kutekeleza hivyo amekuchoka atakua anataka MABADILIKO HUYO.

Pia kutokana na unafiki wako mpaka unashindwa kumridhisha kwa hiyo anaona una msumbua na kumchafua tu. Kisaikolojia wewe haupo tena moyoni mwake


jitafakari chukua hatua amia kwenye mabadiliko uone atavyo changanyikiwa na wewe.

ANGALIZO: Muda si mrefu atakuacha kwa unafiki wako na ccm matapeli wa twiga.

Mleta uzi ni mpuuzi ila wewe ni mpuuzi zaidi yake siasa uchwara yako imekujaje huku
 
Kila mtu anahaki ya kula kuliko jambo lingine lolote. Kula kwanza mengine badae
 
Back
Top Bottom