Mpenzi wangu ananionyesha picha za xxx

Mpenzi wangu ananionyesha picha za xxx

Wakuu habari zenu, kuna mpenzi wangu tuna muda wa miaka miwili sasa ninaishi nae leo wakati tukiwa faragha tukitaka kufanya majambozi katika utani utani kitandani tukiwa kunachekia simu zetu kanionyesha picha za uchi za mdada wa Facebook, nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini wakuu, nimeshindwa hata kushiriki tendo ipasavyo nikiwa natafakari kwa nini kafanya vile
Sasa unalaumu nini mkuu wakati shemeji kakusaidia. Inavyoonekana amegundua kama wewe huwezi kusimamisha bila kuangalia hizo picha. Kwahiyo amekusaidia. Ila pole
 
Wakuu habari zenu, kuna mpenzi wangu tuna muda wa miaka miwili sasa ninaishi nae leo wakati tukiwa faragha tukitaka kufanya majambozi katika utani utani kitandani tukiwa kunachekia simu zetu kanionyesha picha za uchi za mdada wa Facebook, nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini wakuu, nimeshindwa hata kushiriki tendo ipasavyo nikiwa natafakari kwa nini kafanya vile
Weka picha
 
Ha ha mimi nikajua mwanamke ndie analalamika, utakuwa na umama kiasi issue ndogo kama hiyo inakufanya ukose hamu ya kupapachua papuchi
 
Acha mbwembwe kuoneshwa tu picha za namna hiyo ndiyo mpaka ku-perform ushindwe...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom