Aache utoto au anameno huko chini anaogopa akikupa sana ataloose control na kuufumba akung'ate maana mi najua habari za madem wa kitanga huwa wanafungwa na ma ex-boyfriend zao ila kama umemtoa bikra mwenyewe achana na hili wazo langu na mpe methali hii ."UKIAMUA KUOLEWA USILALE NA CHUPI"tehe tehe tehe Wahenga bwanaa....
hapo kwenye red ka ndo hvo unadhani atatka tenaWadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!
hapo hakuna lolotehapo kwenye red ka ndo hvo unadhani atatka tena
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!
ETI ANA TABIA NZURI WE UNABALAA KWELI ANGEKUWA NA TABIA NZURI ANGEDANGANYA WAZAZI NA KULALA KWAKO. Hata ukimuoa atakuwa muongo na mgawaji.
Wadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!
Hivi na wewe unajiita great thinker kwa kuongea huo upupu?Hapa kuna tatizo,
1. Atakuwa anakupa tu kwakuwa una mfadhili, ila hana mapenzi na wewe. Shida zinamfanya akupe.
2. Utendaji wako ni mbovu kiasi kwamba anaona bora akae na ugwadu wake. Maana unatibua maruhani na unashindwa kuyapooza.
3. Hakuamini kama utamuoa. Anahisi lengo lako ni kumchezea.
4. Atakuwa hana akili nzuri.
Jaribu kuzungumza nae umsikilize.
VUNJA UKIMYA, SEMA NAYE!!!
Mwanamke hakomolewi, hapa ndo unafanya kosa. Subiri amalize chuo upigwe chini.
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!
au anamchafua tu...
matope inabidi tukueleze ukweli wanaume wenzako,kiwango chako cha ufanyaji kiko chini au unamaliza haraka kwa hiyo shemeji yetu hahamasiki kuwa nawe kimapenzi nakuhakikishia hata hiyo mara 1 kwa wiki ni kwakuwa yuko kwako afanyeje,Usipo imarisha kiwango chako nakuhakikishia hamna ndoa hapo na utapigwa chini hivi punde.Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!
hapo utumwani sema tu hutambui kifikra unaumia sana na hata shughuli zako haziendi sawa.... mpe chumba chake na usilale naye kitandani siku akiitaji aje chumbani mwako........ always ukiwa mploe kwa mwanamke lazima akuteese saaaaaaanaWadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!