interlacustrineregion JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 7,134 Reaction score 7,411 Nov 1, 2019 #41 Sijuti said: Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi. Sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we si unapendwa, endelea kupendwa. Yaani wanaona wivu na wananitolea nje. Click to expand... Mke wangu ni mjamzito katika ubora wako kupitia ID nyingine [emoji3]
Sijuti said: Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi. Sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we si unapendwa, endelea kupendwa. Yaani wanaona wivu na wananitolea nje. Click to expand... Mke wangu ni mjamzito katika ubora wako kupitia ID nyingine [emoji3]
N ngongoti2000 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 2,233 Reaction score 2,161 Nov 1, 2019 #42 tuma kapicha kake mkuu
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,621 Nov 1, 2019 #43 Endelea kumchakata yeye tu usitamani nyingine