Mpenzi wangu anajimwambafai

Kikubwa angalia ni kitu gani ulicho nacho mpaka ifike stage ya yeye kujimwambafai.
Kam ni pesa, handsame,talented or ni bahalia

Naona unataka tukupe mbinu ya kumpata mwngine ?
BAKI NJIA KUU, MICHEPUKO SIO DILI
 
Ila nashukuru umenifundisha neno "mwambafai" nilikuwa silijui
 
Wanawake jinsi walivo,waki kujua una demu mkali ni rahisi sana kuwapata,ukiona hvo unakataliwa na Hao mademu wengne jua demu wako hana maajabu.
 
Ok hongera tumejia unajua kulitumia neno mwambafy
 
Nakukumbusha : Tulia na mmoja ngono inaongeza gharama zisizo na lazima.
 
Naona ww ndio unaji mwambafy kuwa unapendwa
 
Mkuu ishi humo tu,huenda anajimwambafy kwa wenziwe ili aweke kinga wasije kumuibia


Mpaka sasa inaonekana kafaulu
Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi. Sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we si unapendwa, endelea kupendwa.

Yaani wanaona wivu na wananitolea nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…