Kwa kweli nikiona hizi comment nafarijika sana kuwa mwanaume am almost a superstar cause wanawake wanatupapatikia sanaaa obvious ni mali hadimu sisi (wengi wetu) inanipa peace of mind.
Bora hata zari ana uhakika diamond hata akienda ulaya ana uhakika na mawasiliano na anarudi, wewe mchepuko anaenda hapo tu dodoma unawaza ha ha ha ha ha
Sista , walau umeweza kuwa na ujasiri wa kumtambulisha shemeji kwa ukamilifu ''Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu''.
Hii safari ya serikali kuhamia Dodoma itafunga na kufungua fursa nyingi sana.