Mpenzi wangu anahamia Dodoma

Ha ha ha!!!! Haki ya Nani Wanaume tunadanganywe
 
Nimejitolea kumsaidia majukumu ya kukukanda, kwa kipindi chote cha safari yake.... Pole sana Sista
 
Dah! sijaelewa chochote by the way hadithi yako inatufunza nini?
 

Heshima yako Sista!
 
Hahaha huna salary slip ya serikalini
Salary slip ya serikalini ya nini? utumwa huo kwanza hana siku nyingi atatumbuliwa huyo mumeo! me mejiajiri matonyo ninao wakutosha tu!
 
...shemeji yetu, ingawa ni mume wa mtu...teh teh!! Huyo anaenda tafuta kifaa kipya huko, ndio raha ya kuwa concubine hiyo, unatemwa kama "bablish" tu
Eli79 please usinilize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…