Sijaona Kosa la Mshikaji wako hapo mpaka uilete huku kama Issue kubwa kabisa?Nimemtembelea mpenzi wangu leo(naishi mbali nae)nimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani?akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.hajawahi kunigusia hili swala.je ni sawa jamni nisaidieni kabla sijakinukisha.
Unaibiwa! Huyo atakuwa "mume" wake.Nimemtembelea mpenzi wangu leo(naishi mbali nae)nimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani?akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.hajawahi kunigusia hili swala.je ni sawa jamni nisaidieni kabla sijakinukisha.
Usimuharibie mwenzio rizk kwa wivu, maisha magumu haya!