Mpz wangu nimekuwa nae muda mrefu ila anatatizo la kutonionea wivu hata anikute mazingira hatarishi hii hali hainifurahishi kabisa hadi inafikia muda mwingine natunga skendo yoyote nione reaction yake ila mwenzangu haoneshi na kutishwa wala nini.JE NITAFSIRIENI HUYU MTU Atakuwa wa namna gani?

Kama kitu huwezi kubadili kwa nini kikuumize,mfano nimekukuta na mdada sa nimeshakukuta cwezi badili fact kwamba nimekukuta kwa hyo naendelea na mambo yangu,ila ujue siku ya siku ataondoka zake akiamua,
Angalia usiibue matatizo ambayo hayakuwepo, kobe akiinama jua anatunga sheria, yanawezekana anakaa kimya ila moyoni anaumia sana siokila mtu anaweza kuonyesha hadharani kuwa makini tafadhali.
Kuna mawili: ama anakupenda sana kiasi kuwa haamini kuwa wewe ni wake kweli kwa hiyo anaogopa kukuudhi usije ukamuacha;pili anaweza kuwa na wa pembeni.