Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya
Yaani umchukie kaka wa damu sababu ya demu tu? Kwa taarifa yako hata huyo demu angeweza kukupiga na kitu kizito kupitia mtu mwingine yeyote! Na kukuongezea, kwa kuwa ndiyo kwanza umeanza, utapata demu mwingine, naye pia utachapiwa na msela flani tu, sasa utachukia watu wangapi?
 
Dohh pole sana uyo demu ni silent killer mpunguze fasta na uyo ndugu yako nae ni snitch yani unajua kabisa uyu ni demu wa dogo then na ww unaenda apo apo mkuu wapunguze wote ..amevuka redline uyo ndugu yako ing3kuwa ni mimi namchana alafu kila mtu apite kule nyau nyau yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia demu wa dogo, wazee wamegonga demu za watoto wao, ukishajua unashea na mdingi unajitoa, pisi tu mbona! Maisha ni hayahaya!
 
Shida ipo kwako na brother ako, usimsingizie binti wa watu.

Na binti kati ya watu ambao anaamini wanakujua nje ndani basi ni kaka ako hata kama hawajui vizuri.

Wewe na kaka yako mna nongwa gani mpaka mfikie huko, si ajabu hata yeye hakupendi kama wewe usivyompenda.

Kaa na kaka ako mjuane vizuri. Au mnagombea urithi nyie!?
 
As usual Reutenant latric unproven wife smacked down the guy..Oops One man down.

Cc@our major General@LiverpolVPN
 
Hivi huwa mnapata wapi ugumu wa kuuliza mtu kuhusu fulani kumueleza ukweli ili ujue yeye anasimamia wapi.

Muite demu mueleze kinacho jiri muulize msimamo wake hakuna kuyumbisha yumbisha. Toa conclusion yako .

Ita bro mueleze, sikiliza msimamo wake toa conclusion yako
 
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.

Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.

Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia

"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"

Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.

Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu

" Kweli bora niachane nae tu"

Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu

" hayo ndio maisha Pacbig"

Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.
Kaka yako ni snitch.Hayo maongezi yao, meseji inasema ni "bora niachane naye " amekusiliba vibaya mno.

Cha kufanya wapotezee wote ila usigombane na kaka yako hadi kupelekea kuua undugu, ila jiepushe naye, usiwe unamhusisha kwenye mambo yako ya msingi.

Ukitaka kumjua mtu ambaye yupo loyal kwako muweke karibu na pesa zako,kazi, biashara
au mwanamke wako. Kama asipoharibu kote amini kwamba ni mtu mzuri.
 
Pole mkuu, huyu mwanamke asiharibu undugu au heshima kati yako wewe na brother wako. Piga chini kwa hekima, kaa na bro kiutu uzima. Undugu na heshima ni muhimu zaidi kuliko huyo mwanamke. Sio mwaminifu huyo mwanamke...
Kiukweli sioni undugu na heshima yoyote kwa mtu anayeamua kumkunja mwanamke ambaye anajua kabisa ni wako.
 
No woman no cry ,
Don't trust a woman ,
Expect nothing good from the street Where We Dare To Talk Openly bitches
Wake up nakuona bado umelala , kaka yako Hana hatia Ni vile wewe umekuwa na mahusiano na Malaya na bado anaweza pitiwa hata baba yako . You never know them coz they don't know what they want
Kaka yangu plus huyo binti they are all jerks. Unajua angeliwa hata na jamaa msiye na nasaba ningeona kawaida ila sio kaka wa tumbo moja kabisa, na anajua kila kitu
 
Usimchukia kaka Yako katika maisha ndugu ni lazima kugombana,hata kama unebaini mahusiano kati Yao Cha msingi achana na uyo Binti ,usiendeleze chuki na nduguyo isiyo na mana co of uyo manzi....mpotezee kwanza inaonekana mtu mwenyewe anawachora wewe na uyo kaka Ako ,...
I can't withstand that kinda disrespect from my brother
 
Hivi una akili timamu ww yaan unavunja undugu na bro kisa Malaya kweli??
baada kusoma mstali wa mwisho nimegundua u deserve that.
you're not strong enough to have her under control uko obsessed na love grow up dude
Ni rahisi sana kuzungumza.

But one thing, Ndugu ambaye yupo tayari kukuzunguka kwa demu wako na anajua kila kitu maana yake hakupendi, hakujali, mbinafsi, mpumbavu. Mpaka hapo hakuna haja ya kuendeleza udugu wa kinafiki
 
Pole ktk maisha hii yaweza tokea .
Imewahi nitokea mie licha alikuwa binamu yangu na rafiki yangu wa karibu sana , mie ninachoamini mapenzi ni ya watu wawili tu akiingia mtu mwingine imekula kwenu.

Binti huyu nilimpata , ndani ya Ile teenager akiwa ananizidi miezi kadhaa kiumri . Basi binamu yangu alikuwa na group la marafiki ambao walipenda sana kuwaandikia mie barua za wapenzi wao , hivyo nilikuwa najua a 2 z zao lkn mm walikuwa hawanijui natua wapi

Huyu Binti nilikuwa nimeshamwambia kuwa mapenzi ni yetu tu wawili hakuna mtu mwingine zaidi yetu tukishindwana ni sisi wawili baaas.

Nimetulia zangu Sina hili Wala lile ghafla , binamu anakuja na cheko kuu sana na furaha ya ajabu nikamuuliza kulikoni daaah alahaula Binti kashanichoma , binamu ananiuliza Kwa nn sijawahi kumwambia kuwa yule bibie ni wangu, akanisifia sana . Nikasema poa

Siku zikaenda zikakatika mara tu Binti hanitaki Tena

Kama kawaida ya enzi zile nikanyang'anya ndala moja nikaenda nayo getto nikatulia najua atafuata tu zikakata ck bila kufuata ck moja akajichanganya akazifuata, nikambana vipi kabadirika sana daah Binti akafunguka akisem binamu Yako kanitongoza Sasa Mimi siwezi kuwachanganya ndugu nikaona niwaache tu wote. Nikamuuliza kosa ni la nani akadai sisi wote kumtongoza .

Nikamwambia hujui kuwa ww ni chanzo na tatizo ni wewe kumwambia jamaa ninawewe

Duh ndo ikawa mwisho wa uhusiano wetu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.

Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.

Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia

"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"

Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.

Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu

" Kweli bora niachane nae tu"

Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu

" hayo ndio maisha Pacbig"

Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.

Una uhakika kuwa huyo ni dem wako au wewe ndo umeingilia mahusiano ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom