LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,519
Unakimbia nini ss.. ongeza juhudiBaada ya kuwanae faraga na mie kumaliza mambo yangu akaniambia mwenzio nilikuwa na X wangu ambaye halali. Alikuwa anashughulika paka paka panawaka moto ila wewe unanichukulia kama ndugu yako. Hii kauli imenichanganya sasa nawaza kumkimbia.
Ila huyo dada nae unaanzaje kusema habari za ex being better
Si ukubali yaishe tu kimoyomoyo